Wizi Mabibo Hostel

Wizi Mabibo Hostel

kila mtu awe mlinz na mali zake first year mnakuja na ukijiji hapa mjin lazima mpigwe tuu ,wapigaji ni weng mpaka mtakapozoea ,hiyo ndo dsm city na mataa yake .ila iba usikamatwe cz nakumbuka 2011 block F aliuawa jambaz akijarib kuiba
 
ndugu usiamin malocker wala mlango coz funguo zakuchongesha ni nying xana unapoenda campus hakikisha umebeba bag la pc na km unaenda kula hakikisha rum yako kuna mtu ili umuachie na km hamna wakumuachia bora usubir wenzio warud nawe ndo uende

#kueni makin na ukiibiwa pc usitarajie kuipata bora ujipange kutafuta nyingine
 
mkuu pc imeibiwa cafeteria ila tanx kwa ushauri
 
hahaha uo unaitwa wepesi mbinu za kivita na ujanja wa porini pole mgeni
 
Wanacheza dili na wauza mitumba. Unaweza ukashangaa nguo yako unaikuta imetundikwa Ubungo na muuza mitumba. Hili lipo muda mrefu tu labda liwe limekithiri kutokana na ukata wa boom na hali ya maisha kupanda.
 
Kazi pevu mkianza mitiani na vibegi vyenu!
Wadau wanasomba had toilet paper
 
Umenikumbusha mbali sana, mimi waliniibia pale Block E Room 123 nilipokuwa nakaa miaka 8 iliyopita kwa kweli nilihuzunika sana. Pole sana mkuu hao watu wanatia hasira sana...!! Akikamatika ni kumpa adhabu ya kutosha.
 
Wekeni ulinzi mkamate mwizi.
Nilitaka kusema kamateni mwizi mchome lakini roho wa Bwana akanikumbusha kwamba tusihukumu

Mwizi sio wa kumchoma moto, ni wa kumkata vidole vyote vya mikono
 
wizi hauwezi kuisha mabibo huu ni mpango wa shetani kwa wanadamu ni mtu mmoja tu alifanikiwa kurudishiwa alichoibiwa( pc) tena baada ya miezi 6
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom