Recent content by kumbwitu

  1. K

    Kikundi cha kilimo

    Enimefuatilia mwanzo mwisho nimevutiwa sana nahitaji kujoin ,naomba kujua mmefikia wapi.
  2. K

    Naomba msaada wa hatua za kufuata ili kupata hati ya kiwanja

    Poleni na shughuri za ujenzi Wa taiga, naomba msaada Wa kujua ni hatua zipi napaswa kupitia pamoja na gharama ambazo natakiwa kuzilipa ili nipate hati kamili, kiwanja hicho nilikinunua kwa mtu kikiwa kimepimwa na kinaoffer hivyo nahitaji kupata hati.
  3. K

    Naomba kufahamu kama kampuni ya kutengeneza na kuuza Mashine za Tofali za Interlocking ina tawi hapa Tanzania

    Habari za majukumu wanaharakati, naomba kufahamu kama kampuni ya kutengeneza na kuuza Mashine za Tofari za Interlocking, Yenye makazi yake south África kama wana branch hapa tanzania, kama ipo nitawapata Vp, ninahitaji kufahamu bei za Mashine zas.
  4. K

    Naomba kujua mambo matatu muhimu kwa ajili ya Tractor la kulimia

    Asa Asante sana kiongozi najipanga kwa hilo ,VP mabenki mengine kama CRDB ili nijaribu kwenye unaafuu.
  5. K

    Naomba kujua mambo matatu muhimu kwa ajili ya Tractor la kulimia

    Habari za pilika wanaharakati ,poleni Na mapambano ,.naomba kufahamu mambo matatu kuhusiana Na tractor 1. Naomba kujua ni tractor Bora Na imara kwa Kilimo. 2. Gharama ya tractor kwa hapa tanzania au kwa kuagiza 3. Taasisi au kama kuna bank ambayo unaitoa mikopo ya matractor kwa hapa Tanzania...
  6. K

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Asante sana nimeelimika ninahitaji hasa kufanya manunuzi online,mahitajio msaada zaidi
  7. K

    Msaada utaalamu wa kufuga Bata bukini

    Shukrani mkuu nitafanya hivyo
  8. K

    Msaada utaalamu wa kufuga Bata bukini

    Poleni na pilika za ujenzi wa taifa,naomba kwa anayefahamu jinsi ya kuwafuga Bata bukini,nilinunua Bata wawili jike na dume toka mwaka Jana mwezi wa Tisa lakini chaajabu mpaka leo hawajaanza kutaga .sijajua nimekosea wapi ,naomba msaada wa elimu namna ya kuwafuga ili waweze kuleta tija
  9. K

    Naomba kufahamiswa kama mitihani ya VETA itanipa sifa ya kusoma elimu ya juu

    Habari za mihangaiko members, Naomba kufahamu kama mitihani ya ufundi ya VETA grade test /lever inaweza kumpa sifa mtahiniwa kuendelea na elimu za juu kama diploma, mpaka degree kwa gani ambayo amechukua asanteni.
  10. K

    Natafuta patner tufanye kilimo cha umwagiliaji Morogoro

    Nipo maeneo ya tungi lkn kuna mashamba maeneo ya mkono wa mara kule jirani na gereza la Kingorwila kuna mto ngerengere
  11. K

    Hawa DAFCO siwaelewi maana wananikatisha tamaa kwenye ufugaji

    Jamani hawa jamaa siwaelewi kabisa nilikuwa nimedhamilia kuingia ktk ufugaji lkn jamaa hawa wanakatisha tamaa nimelipia ng'ombe nikaambiwa nisubili wapandishwe sasa sijawapata kila nikiulizia wananiambia bado hawajapandwa sababu kilikuwa na kiangazi kikali,naombeni ushauri
  12. K

    Natafuta patner tufanye kilimo cha umwagiliaji Morogoro

    Okay thanks 0769044870 tuwasiliane kiongozi
  13. K

    Natafuta patner tufanye kilimo cha umwagiliaji Morogoro

    Shamba linapatikana ni PM kama uko tayari
Back
Top Bottom