Naomba kufahamiswa kama mitihani ya VETA itanipa sifa ya kusoma elimu ya juu

kumbwitu

Member
Apr 11, 2017
19
11
Habari za mihangaiko members,
Naomba kufahamu kama mitihani ya ufundi ya VETA grade test /lever inaweza kumpa sifa mtahiniwa kuendelea na elimu za juu kama diploma, mpaka degree kwa gani ambayo amechukua asanteni.
 
Back
Top Bottom