Recent content by Kumbo El Capitanol

  1. Kumbo El Capitanol

    JamiiForums Tanzania Aliyeiona payroll ya August aweke hapa

    Annual increment kila mtumishi anastahili!!! ni haki kisheria kwa kila mtumishi kupewa.
  2. Kumbo El Capitanol

    JamiiForums Tanzania Electrical technician natafuta kazi

    Yes ni cheti mkuu! kwenye hizi kozi za Engineering kwa level ya Diploma kuna mfumo wa kuanzia NTA level 4 (Basic Technician certificate) kwa mwaka wa kwanza ,NTA level 5 (Full Technician certificate) mwaka wa pili na NTA level 6 (Ordinary Diploma certificate) mwaka wa tatu .
  3. Kumbo El Capitanol

    JamiiForums Tanzania Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

    Labda kama Alitaka kusema Bachelor degree of Technical Education in Electrical and Electronics Engineering, Civil Engineering, mechanical engineering, etc
  4. Kumbo El Capitanol

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya civil technician

    Kila la Kheri mkuu
  5. Kumbo El Capitanol

    JamiiForums Tanzania Je, nikichukua umeme live toka nyumba nyingine na neutral nyumba nyingine kuna madhara yoyote yatatokea?

    Kumbuka kabla ya TANESCO kukuwekea Umeme kuna form ulijaza na kuambatanisha michoro ya wiring ktk nyumba yako husika ambayo ulijumlisha na makadilio ya Load zote ambazo zitakuwa installed au kutumika katika nyumba yako hyo na surveyor wa TANESCO pia alikuja kufnya tathmini ili waje kukuunganisha...
  6. Kumbo El Capitanol

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya civil technician

    Tanesco wametangaza kupitia utumishi nyafasi 10 mechanical technician cheki mkuu.
  7. Kumbo El Capitanol

    JamiiForums Tanzania Naombeni kufafanuliwa kuhusu hii kozi

    Telecom kwa sasa soko lake la ajira limepungua sana so dogo itakuwa ameona aendane na upepo unavyotaka kuhusu Tz ya viwanda but naona ni vyema angeenda moja kwa moja kwenye kozi za engineering kama electrical, Biomedical, mechanical etc Ambazo znarelate na alichosoma Diploma kuendelea na Bach.
  8. Kumbo El Capitanol

    JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Hesgoal inashida gani wadau? Hakuna web zingine ziko poa ?
  9. Kumbo El Capitanol

    JamiiForums Tanzania Kazi za tanesco Northern zone.

    Poa mkuu all the best .
  10. Kumbo El Capitanol

    JamiiForums Tanzania Kazi za tanesco Northern zone.

    Soon mambo yatakwiva mkuu!! For more details kuna pdf ningeweza share humu sema imegoma kuattach kuhusiana na majina yaliyokuwa shortlisted kwa interview!!!
  11. Kumbo El Capitanol

    JamiiForums Tanzania Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Poleni wakuu bado tumaini lipo msikate tamaa, vzuri mngeshare nasi hayo maswali mliyokutana nayo?
  12. Kumbo El Capitanol

    JamiiForums Tanzania Usaili wa TAA duu changamoto

    Hiyo kawaida mkuu halafu ujaelewa nilivyosema hauko wazi haimaanishi hakuna watakaofaulu !! Kwa maoni tu ni mtihani ambao kila mtu anakuwa na majibu yake kutokana na jinsi alivyolielewa swali akuna yale majibu ya directly kama upo kwenye field ya umeme nazani umenielewa mkuu!!
  13. Kumbo El Capitanol

    JamiiForums Tanzania Usaili wa TAA duu changamoto

    Point !!
  14. Kumbo El Capitanol

    JamiiForums Tanzania Usaili wa TAA duu changamoto

    Maswali hayako wazi kama unavyofikilia mkuu !!
Back
Top Bottom