Sahihi kabisa mkuu mm ni mtu mtu wa makabati,ni kweli wengi wetu nikiwemo mm nko vzuri ktk calculation but upande wa maelezo nipo very poor mfano lile swali la kwanza daah limenpotezea sana muda afu sina uwakika nalo ila lingekuwa calculation basi ata dk lisingechukua kulimaliza.
Clerical errors nilizisoma japo hlo neno lilinpashda kdogo so nilvyoingia tu nikaanza nalo...
Ila kwastyle hii kuna watu wataumia sana,coz kuna watu uku vyuoni advanced kapiga pcm,pcb,hkl na n.k afu uku chuo kachagua accountancy so hawa watu wanameza hatari na GPA zao zinang'ara sasa wakija kukutana na hzi pepa watajiona vilaza sana mana hzi pepa zinaitaji uelewa wako zaidi.