southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 904
- 1,102
hamna kitu
Annual increment imeongezwa kwa wanaostahili na si kwa Kila mtuhamna kitu
Kwani tayari?Annual increment imeongezwa kwa wanaostahili na si kwa Kila mtu
Unamaanisha? Mshahara tayariEeeeewaaàaaa
Kimbia ATM haraka sanaUnamaanisha? Mshahara tayari
Miye Bado bila bila huku,upo idara Gani?Kimbia ATM haraka sana
Mi mstaafuMiye Bado bila bila huku,upo idara Gani?
Aahaaaa,sawa mzee endelea kula pensheniMi mstaafu
Annual increment kila mtumishi anastahili!!! ni haki kisheria kwa kila mtumishi kupewa.Annual increment imeongezwa kwa wanaostahili na si kwa Kila mtu
Kuna ongezeko lile tofauti na annual incrementNajua ni haki ya Kila mtumishi, Ila ni kwa watumishi wenye zaidi ya miezi 12 kazini. Ajira mpya ambaye hajamaliza mwaka kazini na kuthibitushwa hastahili annual increment