germanium
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 890
- 1,316
Hilo swali la kwanza haliko wazi hivyo ni explain important terminals ndo lilikuwa swali la 3 then kwenye kujibu haijulikani ni terminals gani hasa za uwanja wa ndege au terminals za umeme1. Explain the five important terminals used in electrical .
2,. The most common method used for connecting wire conductor is wire connector. Explain this process
3- explain the terminal boxes used for residential and cottage wiring projects .
interview hiyo ya Electrical Technician kama mtihani wa history asee!!! Ambao mliofanya hii paper poleni sana wakuu sio kwa aina hii unampima fundi mchundokama unataka kuajili mwalimu wa historia au uraia.?

