mhu jamani michuzi kaweka eti karibia watu saba wameshakufa sababu wamepelekwa wakiwa mahututi,pia msongamano ni mkubwa kupita kiasi,mi naona serekali ingeingilia kati kusaidia watu na huyo mzee,sasa wiki mbili hujamuona babu na watu wanazidi kwenda si balaa hilo,Mungu ambariki huyo babu azidi...