Ni heri nitoke jf

Do not go where the path may lead, go instead where there is no path and leave a trail...
 
tokaaaaaaaa.......hii sio facebook utasema unataka kupost photos...jf unapost mawazo ili yatusaidie ukiona watu wanakubleach ujue kuna problem ok mimi nakushauri rudi na username nyingine na mawazo mengine maana kama hutabadilika magreat thinkers watakujua kuwa wewe ni not enough hata kama una new username.

''socrates hakuogopa wala kukimbia hoja na hatimae hata kifo kikamkuta.''
 
ahaa sasa nimeelewa,kumbe ile post ya kabao kamoja na kujamba jamba na kuambiwa kama kidume onyesha nyumbani kwako kwanza ndio iliyowaboa ndo maana tuka........ dada wa watu ama kweli ukweli unauma.au sio ivyo?
 
viBARAKA UTAWAJUA TU!! Iv hawakuisha enzi za wakoLONI?
 
Ngoja nami nikupe maoni yangu kama wenzangu walivyojitahidi kukubembeleza na kisha urudi kundini.Yaonyesha unahasira sana,sasa ungekuwa umekula fedha za madowanse,ama Richmondee,ingekuwajee??? Wenzako wanasemwa wee bado wanakuambia ni vijisenti tu,sembuse wee vijinenooo?aaah bwana hebu usiondoke kuwa the great thinker mwenye upeo wa mbali.Kukashifu JF haipendezi waswahili wanasema usitukane wakunga na uzazi ungalipo.Please release your angry become cool and wellcome again
 
toka faaaaasta......................
bado uuuupo tu hebu toooka haraka saaana nenda face book nyambaaaafu
 
Wacha 1,mimi pia huwa napenda sana mtu anayetumia takwimu,usiendelee zaidi kila kitu kipo wazi
 
Nimegundua JF hutakiwi uwe mkweli ila siku zote unatakiwa kusema uwongo na kuwa mnafiki. Mimi kama mdada nimekuwa mkweli sana katika mambo ya kijamii ambayo yanamuhusisha kila mtu. ila shida ambayo nimekuwa nikiipata uki post a genuine thread ambayo inahusisha maisha ya watu basi inakuwa ni kejeli, matusi, na kushambuliwa with every TOM, DICK and JERRY.

I am tired and i better not contribute.

Madada - Samahanini sana na endeleeni na ndoa zenu ila mkae mkijua wanaume zenu wana wasaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

BYE - NOT ENOUGH AND WILL NEVER BE ENOUGH

tatizo lako wewe una mdomo sana utadhani umekula karanga za moto..ndo maana wanakushushua bana....tulia mtoto wa kike..mara natafuta mume,mara nimempta ananisumbua mara sijui mume wa jirani ananitamani....aaaghhh
 
Usitake kulazimisha kilaa mtu akubaliane na wewe,hiyo ni tabia ya udikteta na uchanga katika kujenga hoja.Kuna watu wanapenda mada zako na kuna watu hawapendi mada zako.Tatizo lako unataka kulazimisha kila mtu awe upande wako kitu ambacho hakipo kwa magreat thinkers.Fikiria vizuri uamuzi wako,kama unao suluhisho ni kujitoa JF ni uamuzi wako.Kwa kuondoka kwako hakuna kitu kitakachokosekana.Huyo ni utoto,ukikua utaacha.
 
Back
Top Bottom