Recent content by kukomya

  1. kukomya

    Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

    Kwani mlimfanyaje hadi kuuliza watampata wapi mwingine?
  2. kukomya

    Nimemhonga msichana simu na bado amenitosa, naweza kumripoti polisi?

    Mwanamke huyo ana umri wa kufanya maamuzi? Simu ile uliinunua kwa jina lako? risiti za manunuzi unazo au ulimkabidhi? Kama kweli uliinunua, risiti iliandikwa kwa jina lako na unazo unaweza ripoti Polisi kama umeibiwa.
  3. kukomya

    TTCL yazindua 4G Mwanza

    Naona hii ni Kampuni ya mijini tu na haituhusu watu wa vijijini tena hata mimi yenye ni miwili au mitatu! Baada ya matangazo mengi nilipoenda Morogoro mjini nilijaribu kutafuta laini yao. Hata wauzaji wa laini za mitandao mbalimbali waliniona kituko!
  4. kukomya

    Barua kwa UN kuhusu kupotea kwa Ben Saanane

    Ila nina mashaka na uhalisia wa barua hii. Yaelekea imeandikwa na watu wenye nia ya kuwadhalilisha BAVICHA na upinzani.
  5. kukomya

    Barua kwa UN kuhusu kupotea kwa Ben Saanane

    Maudhui mema Ila lugha imemchenga
  6. kukomya

    Nape Nnauye: TCRA inaandaa kanuni za kubana matumizi ya mitandao ya kijamii

    Wakifunga mitandao ya hapa tutayaanika maovu yao kwenye mitandao ya kimataifa. Yaelekea hata siri ya makampuni ya mawasiliano kupandisha bei ya vifurushi ni hawahawa kina Nape.
  7. kukomya

    Jicho la ndani: Sababu za kitaalamu za kushindwa kwa CHADEMA na UKAWA katika uchaguzi mdogo

    Maneno meeengi yasiyo na maana! Ukweli utabaki ulivyo, upinzani bila TUME huru utabaki kuchaguliwa na CCM wapi pa kushinda na wapi lazima CCM washinde! Makundi uliyosema ni ya kusadikika na ni wehu tu watakaokuelewa. Uzi huu umebuniwa Lumumba kuwaghilibu wananchi.
  8. kukomya

    Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

    Ulitaka CHADEMA wafanye nini? Hawana Polisi, Usalama wa Taifa, Jeshi n.k. Sheria mlizojizunguushia ni za kulinda uhalifu kama huu. Wahalifu hawa ndani ya serikali walikuwa wakisubiri CHADEMA waamdamane wawafanyie uharamia ikiwa ni pamoja na kupigwa, kukamatwa, kufungwa kwa maelekezo toka...
  9. kukomya

    Prof. Palamagamba Kabudi, mtaalamu wa sheria Afrika na duniani

    Aliyemteua anazingatia sheria na Katiba? Uzoefu umeonyesha ni msomi anayenunulika, ilikuwaje kwenye kesi ile ya Mtikila dhidi ya Jamhuri iliyomalizwa " kisiasa" na jopo la Majaji na wataalam wa Sheria huyu akiwemo! Poleni mnaotarajia mapya toka kwa Bwana huyu anayeonekana waziwazi kuwa mchumia...
  10. kukomya

    Rais Magufuli amuapisha Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma kukaimu nafasi ya Jaji Mkuu wa Tanzania

    Hakuna jipya! Aliyeondoka alikuwa mteule wa Magufuli kama ilivyo kwa mteule mpya! Anayeteua ndiye atakayeelekeza kinachotakiwa kufanywa! Aaargh Katiba mbovumbovu hii!
  11. kukomya

    Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

    CHADEMA wako smart. Wanamfahamu mwenye nguvu aishie gizani anayefanya uhalifu wa aina hii, wa kuteka, kuua, kuwatia kwenye viroba binadamu na kuwatupa. Kwa hali ilivyo kungekuwa na hata chembe ya shuku juu ya uhusiano wa CHADEMA au ingekuwa watawala wangekuwa kweli hawajui Ben aliko CHADEMA...
  12. kukomya

    Kwanini Waziri Mkuu asijiuzulu au kutimuliwa ofisini kwa kudanganya umma?

    Pinga hoja kwa hoja, si porojo! Mwenzio kaweka mifano na data, we unapayuka.
  13. kukomya

    Kiusalama, Tundu Lissu kumwambia Rais kuwa "ameropoka" ni kosa kubwa sana

    Hakuna mantiki yoyote ni kujipendekeza tu! Rais ni mtu kama wewe, anaweza kukosea ikiwemo kukurupuka, kuropoka kudanganya na hata kuumiza. Tundu Lissu ni mwanasiasa. Kutamka hivyo si jinai, yuko katika upinzani wenye na ya dhati ya kikatiba ya kuiondoa kidenokrasia serikali iliyoko madarakani...
  14. kukomya

    Huyu mdudu anaitwaje?. Je, ana madhara endapo amekung'ata?

    Sasa kama hujui hata jina lao umejuaje yana "sumu balaa"! Kwani umelazimishwa kuchangia?
  15. kukomya

    Tahadhari: Kama una mke mjamzito usijaribu kufanya hili

    Inawezekana, lakini kwa asilimia kubwa ndiyo uhalisia. Kuna mama katika historia ya maisha yangu alikuwa akipenda kukaa karibu na banda la mbuzi ili "aburudike" na harufu! Alikoma mara baada ya kujifungua. Inatubidi kuwaelewa wenzetu. Nampongeza mleta uzi huu kwa kuonyesha anajali.
Back
Top Bottom