Recent content by kudundu

  1. K

    Mume wangu haniridhishi kwenye tendo

    wewe kwa sms hiyo inaonyesha umezoea kuchepuka, hauko sasa hata robo kutuma hiyo msg, hizo ni akili za kikahaba, huwezi mtumia mumeo msg kama hiyo...kitu kingine ambacho husababisha mumeo kuishiwa ladha ya tendo ni k kubwa, tena yenye maji lukuki...anyway karibu chemba nikutatulie tatizo lako
  2. K

    Abilia wa makongo wazuia magari kutoka mwenge stendi

    Hii serikali ni ya kipuuzi kweli mimi nlimuuliza mhusika mmoja wa manispaa akasema bara bara ya makongo haipo kwenye plan ya kuwekewa lami
  3. K

    Huawei ascend y300 na p6

    mkuu iko wapi tofauti ya mm kununua dukani na kwako? maana wauza bei aghali.
  4. K

    Be foward Tanzania hamjajipanga, boresheni huduma.

    Jamani mie nnatafuta kampuni ya clearlng wanitolee gari yangu..
  5. K

    Nauza galaxy s4 CLONE

    Nikupe huawei y300 na sh elfu 50?
  6. K

    Umbwe Secondary yafungwa sababu za udini

    Mkuu nnaungana na wewe, hasa wale wenye visuruli vifupi, hata material walikuwa wanaficha huko, hawataki kuunda makundi ya kudiscus na watu wa dini nyingine, hii tabia ilikuwa inakera saana
  7. K

    Umbwe Secondary yafungwa sababu za udini

    Mkuu makange sisi tulimuondoa...
  8. K

    Umbwe Secondary yafungwa sababu za udini

    Kipindi nnasoma hapo waislam walianzisha chokochoko wakiaka eneo lao walilopewa shule liongezwe wajenge msikiti mkubwa...kisa wakristo wanakanisa lao, binafsi haikuniingia akilini maana kanisa ni la roman na sisi wengine wenye madhehebu mengine tungeweza kuomba eneo
  9. K

    TRA Mnatusababishia hasara Wafanyabiashara!.

    Mkuu hiyo bei imeongezeka kwenye magari yote ama vipi?
  10. K

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Wakuu hivi ile calculator ya TRA ina uhalisia? kama ndio tupeane utaalamu jinsi ya kuitumia
  11. K

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Wadau mimi nimedownload ila calculator ya TRA, na inakupa bei ya kodi utakayolipa naombeni kujua uhalisia wake tafadhali.
  12. K

    CAF Champions League

    Mungu bariki yanga
  13. K

    CAF Champions League

    Yanga anashinda kajinyonge
  14. K

    Msaada tutani kuhusu ukweli wa Kampuni ya Telexfree

    Mie nnasubiri nione kwa macho maisha yenu yakibadilika ndo nijiunge....
Back
Top Bottom