Umbwe Secondary yafungwa sababu za udini

Umbwe Secondary yafungwa sababu za udini

Status
Not open for further replies.
Mimi namlaumu rais wa nchi hii tu! Yeye ndiye muasisi wa mambo haya. Watu wa dini yake wanafanya fujo kila siku na hatuoni wakikamatwa. Wengine wanafundisha watoto kufanya fujo lakini hawchukuliwi hatua yoyote ile. Wanaachwa kwa amri ya ikulu. Marais waliopita kulikuwa hakuna ujinga huu kabisa!!

Acha ufinyu wa fikra wewe
 
Nasikitika kwanza kuwa pendekezo hili naliweka katika maneno ambayo hayajadailutiwa hata kidogo. Kwa maoni yangu, umefika wakati sasa wa kusema no kwa michango ya harusi, ama fedha au mda. Maoni yangu yanazingatia kuwa kwanza kuoana ni uamuzia na muhimu kwa wanaooana. Yapo mambo mengi yenye faida ambayo tunaweza kuchangiana kama vile ada za watoto mashuleni, kuhudumuia wagonjwa na kadhalika. Kama anadhani anataka kufanya harusi, basi aandae kwa fedha zake na awaalike watu waje wamuunge mkono kusheherekea, sio kuwakalisha watu kwa zaidi ya masaa 400 (e.g vikao 5 x masaa mawili kila kikao x wanakamati 20) eti wakiumiza vichwa na hela ili mtu aoe!

Mkuu nnaungana na wewe, hasa wale wenye visuruli vifupi, hata material walikuwa wanaficha huko, hawataki kuunda makundi ya kudiscus na watu wa dini nyingine, hii tabia ilikuwa inakera saana
 
Acha ufinyu wa fikra wewe
Huyo ndiye tatizo, ukweli ndiyo huo. Watu wakisema ukweli wana ufinyu wa fikra???Au mnafikiri watanzania wa leo ni wale wa miaka ya 47??Hii dhambi itamtafuna tu, iko siku!! Amepanda mbegu!!
 
tatizo linajulikana bt government haitaki kusolve....!

imeshanitokea ndanda boys high school (form5) inshu kama hii.

hawa wenzetu ni shida kila kitu wanaonewaa...!

Si wakasome jabal hiraa morogoro na ile ya pale mtaa wa Lindi?
 
Ikulu hata ukiandika juu ya barua "Jakaya Mrisho Kikwete" bila kuongezea "Rais wa jamhuri ya Mungano wa Tanzani" barua inafunguliwa na kuyeyushwa.
Kama ndio hivyo ngumu sana, kwahiyo kitu kinachoitwa privacy hakuna kabisa

Asante kwa kinijuza
 
"MUNGU baba Mwenyezi, bariki shule yetu... Ushushe mibaraka na matunda mema, tuwapo masomoni na kazi mbalimbali, jina Umbwe lisifike" Nachokijua ni kwamba Umbwe kuna sehemu ya ibada kwa ajili ya wakristo na waislam, mleta mada tafadhali mwulize huyo dogo chanzo cha mgogoro huo wa kidini ni nini haswa?

huo wimbo umenikumbusha mbali na kweli wakati wetu Mungu baba alikuwa anashusha mibaraka yake div 1 up to 3 na hali ya hewa haikutuathiri mchana na usiku.

Ukija kwenye michezo hasa mpira usipime

weka hapo UMACHA-Umbwe vs Machame
 
Haya mambo yanakuwaga na mwisho. kuna siku tutachokana tu. Siku hizi wanafunzi wa dini tofauti hawaaminiani kabisa sembuse kukaa pamoja. My best classmate enzi hizo was a Muslim na alijua kwamba nakula nguruwe sana tu!
Kweli kabisa hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho, hata kama litachukua muda kiasi gani
 
Hata kama yanamfikia, yule jamaa ana uswahili mwingi sana ndio maana alikuwa akiwatumia viongozi wa dini wampigie kampeni. Haiwezekani mpaka leo lile tukio la arusha kanisani hakuna mtu aliyechukuliwa hatua yoyote!! Ni kwa sababu ni watu wa jamii yake.

Kuna Tetesi kwamba hata Marais wa E/A wamemtenga kwa sababu za Udini alionao maana wamegundua Vita dhidi ya Ugaidi haitafanikiwa wakiwa karibu nae.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom