Umbwe Secondary yafungwa sababu za udini

Umbwe Secondary yafungwa sababu za udini

Status
Not open for further replies.
Na si hiyo tu zipo nyingi sana sema tu hatua stahiki hazichukuliwi
 
Muasisi wa haya yote anajulikana na bahati nzuri kuna mmoja ameshamtaja na hili tunalithibitisha kwa kuwa hakuna hatua zozote kwenye kundi lake wa pili kulaumiwa ni ccm yaani wametuharibia sana tanzania yaani we acha tu jamani
 
tatizo linajulikana bt government haitaki kusolve....!

imeshanitokea ndanda boys high school (form5) inshu kama hii.

hawa wenzetu ni shida kila kitu wanaonewaa...!

Ndanda boyz kitambo sana.
Kilimanjaro-Mawenzi....room no 21.......!
 
Duu, mbona haya mambo yanajirudiarudia katika mashule mengi ya sekondari? Nakumbuka tatizo la udini liliwahi kutokea miaka ya 2002 pale Minaki Sekondari-Kisarawe na sababu zilizotolewa mojawapo ilikuwa "Kwanini kila mara viongozi wengi wa wanafunzi ni wa kristu?" Pili- eti Kitimoto kilipikwa kwenye masufuria ya chakula cha jumuia, binafsi sikukubaliana kwani wapishi walikuwa waislaam, Na wakagoma kula chakula cha shule kwa wiki, ila kila jioni kulikuwa na Maprado yanawaletea misosi na kupikia msikitini mwisho kukawana fujo.

Imetokea maeneo mengi ya shule ila hamna suluhisho la kudumu na siasa zinaingilia, hadi UDOM pia, je ujinga huu unatupeleka wapi? Inakera sana.

Suluhisho: kwa kila sehemu watafute nini chanzo kwa haki na wakidhibiti kwa kutoa mapendekezo sahihi ya kukoma tabia hii,
 
Hao wanawashwa ngoja yawakute ya central africa ndo watatia akili wakristo sio wapumbav kiasi hiko.
 
hi isue ili wahi kutokea advance kisa kitimoto wengne walikuwa wana shinikiza wenzio wafukuzwe kwa kula hyo kitu kama sio hekima za head mama ingekula aisee haya mambo ya udin wengne kujiona wana haki kuliko wengine
 
Ujinga ujinga ujinga ujinga! Tunawaonea Donge wenzetu wa Africa ya Kati
 
tuliosoma hapo miaka hiyo tunafahamu misingi mizuri ya hapo shuleni, wakristo kwa waislamu tuliheshimiana na kushirikiana, kilichotokea ni kuwa kuna aina fulani ya ubinafsi upo hapo shule katika waumini wa dini fulani, yaani wanaposalia wenyewe wanafichaga vitu huko kama ndoo na vitu vingine vya public hii ilianza kujionyesha tokea zamani lakini kama ujuavyo kuna tolerance inaonekana huo ubinafsi umeshindwa kuvumiliwa na upande wa pili naskia upande mmoja ulienda kuomba msaada lyamungo secondary kuwapiga wengine.. mi naona viongozi wote wa dini wanahusika wote hao timua shule hakuna tiba nyingine zaidi ya hiyo.
 
Kweli mambo yamebadilika kuelekea kushuka kwa mshikamano wa taifa na fikra za kimakundi, miaka hiyo tunasoma hapo vibwengo (wapenda kusoma usiku na tochi/vibatari) walikuwa wamejikita sanasana kwenye ligi ya matokeo ya kidato cha nne na kuona Umbwe inashika nafasi za juu, akina sie tulikuwa tunasubiri kukuche tulivae karandika kuelekea moshi mjini.

Siku hizi tena kumekuwa na mambo ya udini unthinkable during our times nimepita hapo na hata sikuwahi jua kama awali ilikuwa ni shule ya kanisa mpaka kupitia thread hii, let alone kubaguana kidini au hata kuishi kidini dini, kweli tunapoelekea sio kuzuri tumeshasema vyakutosha jamani wakemeeni watu wa mungu kutoa matamko ya kisiasa ndio kwanza waziri mkuu anawapa kipaumbele katika kuwaongoza waumini wao na mambo ya siasa it is coming kama wahusika hawato chukua hatua mapema what we are waiting for is another Ponda character (of any religion) only this time awe stubborn with outside support.
 
Mkuu tuvumilie kama kuna uhai 2015 sio mbali, unaonaje best wangu?

Haya mambo yanakuwaga na mwisho. kuna siku tutachokana tu. Siku hizi wanafunzi wa dini tofauti hawaaminiani kabisa sembuse kukaa pamoja. My best classmate enzi hizo was a Muslim na alijua kwamba nakula nguruwe sana tu!
 
Shule haijafungwa kwa sasa,wanafunzi wanaendelea na shule
 
"MUNGU baba Mwenyezi, bariki shule yetu... Ushushe mibaraka na matunda mema, tuwapo masomoni na kazi mbalimbali, jina Umbwe lisifike" Nachokijua ni kwamba Umbwe kuna sehemu ya ibada kwa ajili ya wakristo na waislam, mleta mada tafadhali mwulize huyo dogo chanzo cha mgogoro huo wa kidini ni nini haswa?
 
Mimi nimesoma lyamungo,hayo mambo mwaka 2010 niliyaskia nilpokua nkienda kwa hawa majiran zetu.kisa kuna viongoz wanashinikiza kujengwa mskiti mkubwa katikati ya shule kisa kunakanisa la wakoloni lililojengwa mwaka 1938.na wao wanataka msikiti.
 
Walioko madarakani walizileta hizi chokochoko ili tugawanyike watutawale, sasa hii dhambi imeanza kuzaa mauti. Bado tutaona mengi!!!
 
Mie nilisoma hapo wakristo wana kanisa kwa kuwa ilikuwa ya kanisa na waislamu wana msikiti wao.
Huu udini umetoka wapi wakati busara ilitumika pawaka na msikiti au wivu?

Kipindi nnasoma hapo waislam walianzisha chokochoko wakiaka eneo lao walilopewa shule liongezwe wajenge msikiti mkubwa...kisa wakristo wanakanisa lao, binafsi haikuniingia akilini maana kanisa ni la roman na sisi wengine wenye madhehebu mengine tungeweza kuomba eneo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom