Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,283
- 108,295
Daah penati mi sipendi jamani!
Leo inabidi upende...
Daah penati mi sipendi jamani!
Mkuu tunaombeni link basipenalt ya cnnavaro saf sna!
Daah penati mi sipendi jamani!
Penalt ya pili warabu wanapata
Sasa si ui copy hapo na uniwekee hapa mbona inakuwa kazi link tu??wote wamepata wanaingia za tatu
Wewe unajua nina majonzi hapa, hebu acha wanga wako. Hiyo aibu itakuwa yako yetu Yanga? endelea kuishabikia timu yako