Hapo linapigwa kombora lisilomdhuru, anapigwa kombora moja lakumtuliza tu akili yake...yaani anakusahau kabisa, hakufuatilii, hakusumbui, hakudhuru, ukimwambia jambo anakusikiliza..
The same to me, niliachana na baby mama watoto watatu..aliniandama akanitoa kwenye kajumba kangu, akanivurugia...