Recent content by ktmtupu

  1. K

    Nini kazi ya Bunge la Katiba: Ni kuboresha rasimu au ku-rubber stamp rasimu?

    Kwa kuwa msingi wa Rasimu ya katiba ni maoni ya wananchi, na tena baada ya kuchambuliwa kiutaalam na tume, Bunge Maalum la Katiba halina mamlaka ya kufumua msingi wa maoni mathalani s3 bali kurekebisha tuu.
  2. K

    Tundu Lissu: Wachungaji, Maaskofu na Masheikh ni wala rushwa

    TL Hataki unafiki na kumung'unya maneno. Hawana ubavu wa kumshitaki maana aliyosema juu yao ni kweli tupu.
  3. K

    Viongozi wa UKAWA Kutofautiana kauli ni 'Slip of Tongue' au Makusudi ya Bahati Mbaya?

    Kwa kauli zote tatu hakuna tofauti yeyote ya kimantiki.
  4. K

    Umasikini unatokana na uvivu wetu sio serikali

    Umenikuna sana kwa comment yako!
  5. K

    Ni bora CHADEMA ife kuliko kuvuliwa uanachama

    Kisa hiki cha ZZK kinanikumbusha kisa cha wanawake wawili waliopeleka shauri lao kwa Mfalme Suleiman. Kisa hiki ni changamoto ya kwanza aliyoipata Suleiman kama ilivyo kwenye Biblia kitabu cha Hekima. Wanawake waligombania mtoto mmoja kila mtu akidai ni wake, baada ya mmoja wao kumwua mwanaye...
  6. K

    Kuna njama ndani ya CHADEMA

    Wote Shibuda na Zitto ni wasaliti wa CDM, japokuwa wanatofautiana kimkakati. Wakati Shibuda akitumia mbinu dhaifu kama kejeli na vijembe, ZZK amefanya kazi ya muda mrefu ya kutengeneza makundi ndani ya CDM kwa ajili yake binafsi. Hakuna hoja yeyote ZZK aliyoisimamia kwa maduni ya chama na ndio...
  7. K

    Upotoshaji wa tangazo la 'Policy Forum' kuhusu kodi...

    Mleta mada usikurupuke kabla ya kuandika. Ni vizuri ukafahamu katika bajeti ya serikali ni kiasi gani cha mapato ya ndani hushughurikia miradi ya maendeleo kama barabara, maji, umeme na miundombinu ya afya. Kwa taarifa yako miradi mikubwa yote unayoiona hutokana na mikopo tena yenye riba, na...
  8. K

    Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

    Kwa watanzania wanaoipenda nchi hii wataunga mkono ZZK akifukuzwa rasmi uanachama. CC ifuate taratibu zote muhimu zilizopo, ili huyu kijana aungane rasmi na waliomtuma kudhoofisha ukombozi.
  9. K

    Tumshauri Zitto...

    Zitto hafai kuwa mwanachama wa CDM. One of 47 laws of powers (''do not overshine your master''), hapa masters ni viongozi wa juu wa CDM na chama chenyewe, inaonyesha asivyoweza kufika mbali kisiasa na hata kijamii, miaka mitatu tuu ijayo atasahaulika kabisa. Ni wakati muafaka kwa viongozi wa...
Back
Top Bottom