cjui hata darasa la kwanza umepita?? ni aibu kwangu mm kukujibu ila ni fahari ujickie kupata responseyangu.Mkuu awali nilikuwa naelewa km ww ila nikawa pia nahisi usariti kwa mbali ulohitaji uthibitisho hata juzi niko na wazee furan hv wa ccm tena ni mainformer nikaguswa na cost anaZotumia ZZK cortin nikaropoka "Ila ZZK wanamgarimu sn kwny hii kesi" wazee mainformer wa ccm wakanicheka sn nakuropoka garama za ccm hzo yy hana chakugarim hapo na tena analipwa hapo kwa mda anaotumia mwingne akadakia huyu kijana vp haelewi hata hyo kesi imedraftiwa na Jaji wa ccm kumpa Msando,,, Frm dat point nw nimeamin mengi sn ya usarit wa Kabwe hata zile billion amekula kweli nw yupo kuvurugga chama mahakamani na c kngne,,,kwa hili la Kabwe ss niko tayar kwa kujiamin kucmama popote kuongelea usarit wke,,,na kesho nitaendelea kuwachimba sn hawa mainformer wa ccm ntajua,,,,
nilitaraji utajibu hiv tambua mbowe na dk wakimuona zito wanapata tumbo la kuhara ivo walkua wanamwinda kwa hali na mali a targeted mission kummaliza na sio usalitiWote Shibuda na Zitto ni wasaliti wa CDM, japokuwa wanatofautiana kimkakati. Wakati Shibuda akitumia mbinu dhaifu kama kejeli na vijembe, ZZK amefanya kazi ya muda mrefu ya kutengeneza makundi ndani ya CDM kwa ajili yake binafsi.
Hakuna hoja yeyote ZZK aliyoisimamia kwa maduni ya chama na ndio sababu hata wafuasi wake wameshindwa kutofautisha maslahi ya chama na mtu. Wanatamani CDM ife hata leo ili kumkomoa Mh. Mbowe na Dr. Slaa. Huu ni usaliti udiovumilika.
cjui hata darasa la kwanza umepita?? ni aibu kwangu mm kukujibu ila ni fahari ujickie kupata responseyangu.
hiyo ndio ccm bwana ni full maigizo kila kikicha.Chagua wewe uko katika kundi lipi la akili!
Jee wewe una akili za samaki kama alivyosema Mh Karume?
View attachment 130288
Au uko sawa na hawa jamaa wa Gombe?
View attachment 130289
View attachment 130287Hivi Mzzee wa makomandoo wa Afganstan, Libya ,Irak yuko wapi siku hizi?
MODS HEMBU ACHENI HII CHANGAMOTO YA USALITI TUICHAMBUE (acheni huu uzi)
Ndugu wadau hususan wana jf nimekuwa nikifatilia siasa ndan ya chadema kwa muda mrefu hasa juu ya kile kinachotafsiriwa usaliti wa mh zzk na kufikia hatua ya kujiuliza maswali mengi mf kati ya mh zzk na shibuda hiv ni nan hasa msaliti.
Mara nying tumekuwa tukimuona mh shibuda akijitokeza wazi kwenye vikao na mikutano ya ccm na kukisema chama kimafumbo lakin hatujawah kusikia chama kikimjadili kama wanavyomjadili sasa mh zzk ambaye mara nying amekuwa akijitoa kujenga chama katika mikoa mbalimbali tofaut na shibuda.
My take:
usaliti unaodaiwa kwa mh zzk ni kete tu inayotumiwa na wakuu wa chama ili kumdhoofisha bado naamin kuna sababu nyingine ambayo inagusa maslahi ya wakuu wake na si muda mrefu kila kitu kitakuwa wazi. Mungu atatenda haki na unafiki wao utawekwa wazi
hakika zito anatolewa kafara kwa sababu ya posho, uenyekiti, matumizi mabya ya rasilimali za chama alizokua akihoji suala la usaliti ni kama waingereza wanavyosema give a dog a bad name in order to kill it, kwa wanapenda sana mbwa hivo kumuua lazima useme anakula vifaranga nk je kamati kuu mbona shibuda muda wote mmemuacha ni kwa kuwa hazuii mirija yenu, vilevile mnamuona sio threat, waraka wamabadiliko walioandaa wamekiri wazi zito hahusiki mnakazania tu je kwann tusiamini kwamba kuna hidden agenda na si usaliti
Mkuu awali nilikuwa naelewa km ww ila nikawa pia nahisi usariti kwa mbali ulohitaji uthibitisho hata juzi niko na wazee furan hv wa ccm tena ni mainformer nikaguswa na cost anaZotumia ZZK cortin nikaropoka "Ila ZZK wanamgarimu sn kwny hii kesi" wazee mainformer wa ccm wakanicheka sn nakuropoka garama za ccm hzo yy hana chakugarim hapo na tena analipwa hapo kwa mda anaotumia mwingne akadakia huyu kijana vp haelewi hata hyo kesi imedraftiwa na Jaji wa ccm kumpa Msando,,, Frm dat point nw nimeamin mengi sn ya usarit wa Kabwe hata zile billion amekula kweli nw yupo kuvurugga chama mahakamani na c kngne,,,kwa hili la Kabwe ss niko tayar kwa kujiamin kucmama popote kuongelea usarit wke,,,na kesho nitaendelea kuwachimba sn hawa mainformer wa ccm ntajua,,,,
Kamati mbona hadidu rejea mh shibuda hayupo mnamuonea zito kwa kuwa yeye ni tishio kuliko shibuda ???
Umewaomba hata Mods wasiondoe ili tujadili assumption yako, kifupi ni kwamba Shibuda hana effect yeyote hata kama atasema nini juu ya chama, hii ni kutokana na mambo mengi ikiwa ni pamoja na nafasi yake katika chama na ushawishi wake. Hivi leo hii akiongea Shibuda kuna mtanzania yeyote anayefikirisha ubongo wake eti Shibuda katamka neno? Labda familia yake ambayo inasababu za msingi zakufanya hivyo. Unalinganishaje kosa la Shibuda na Zito? hebu jalibukuorozesha uone kama yanalingana jambo yote ni usaliti. Mtu akihukumiwa kunyongwa kwa sharia ya TZ ni kwa sababu kauwa, kwa wanaotukana wanahukumiwa kunyongwa?MODS HEMBU ACHENI HII CHANGAMOTO YA USALITI TUICHAMBUE (acheni huu uzi)
Ndugu wadau hususan wana jf nimekuwa nikifatilia siasa ndan ya chadema kwa muda mrefu hasa juu ya kile kinachotafsiriwa usaliti wa mh zzk na kufikia hatua ya kujiuliza maswali mengi mf kati ya mh zzk na shibuda hiv ni nan hasa msaliti.
Mara nying tumekuwa tukimuona mh shibuda akijitokeza wazi kwenye vikao na mikutano ya ccm na kukisema chama kimafumbo lakin hatujawah kusikia chama kikimjadili kama wanavyomjadili sasa mh zzk ambaye mara nying amekuwa akijitoa kujenga chama katika mikoa mbalimbali tofaut na shibuda.
My take:
usaliti unaodaiwa kwa mh zzk ni kete tu inayotumiwa na wakuu wa chama ili kumdhoofisha bado naamin kuna sababu nyingine ambayo inagusa maslahi ya wakuu wake na si muda mrefu kila kitu kitakuwa wazi. Mungu atatenda haki na unafiki wao utawekwa wazi
MODS HEMBU ACHENI HII CHANGAMOTO YA USALITI TUICHAMBUE (acheni huu uzi)
Ndugu wadau hususan wana jf nimekuwa nikifatilia siasa ndan ya chadema kwa muda mrefu hasa juu ya kile kinachotafsiriwa usaliti wa mh zzk na kufikia hatua ya kujiuliza maswali mengi mf kati ya mh zzk na shibuda hiv ni nan hasa msaliti.
Mara nying tumekuwa tukimuona mh shibuda akijitokeza wazi kwenye vikao na mikutano ya ccm na kukisema chama kimafumbo lakin hatujawah kusikia chama kikimjadili kama wanavyomjadili sasa mh zzk ambaye mara nying amekuwa akijitoa kujenga chama katika mikoa mbalimbali tofaut na shibuda.
My take:
usaliti unaodaiwa kwa mh zzk ni kete tu inayotumiwa na wakuu wa chama ili kumdhoofisha bado naamin kuna sababu nyingine ambayo inagusa maslahi ya wakuu wake na si muda mrefu kila kitu kitakuwa wazi. Mungu atatenda haki na unafiki wao utawekwa wazi
Kuna siri kwa wakubwa lkn sisi walalahoi tunafuata mkumbo tu kwa kuwatetea viongozi wetu wakati wanamakosa sana