maji kiwalani imekuwaje watu wanatumimia maji ya mashimo machafu tulijua tumeshatoka huko mnaturudisha huko .sasa wiki ya 3 hakuna maji wapemba nao walishaacha kuuza maji.hali ni mbaya na inatisha .hamtoi taarifa kama kuna shida gani plz kabla yakuandamana kwenda kwa Awesso tunaomba tujue shida nini
Wakazi wa kiwalani Sasa ni wiki ya tatu mmekata maji bila taarifa yoyote Kama Kuna tatizo gani mkumbuke mmewatoa watu kwenye visima vya wapemba mkatuhakikishia maji yatakuwepo tunaomba taarifa tupewe tafadhalli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.