Recent content by KRG1

  1. KRG1

    Tumeudharau ugonjwa wa Corona kwa kukosa Maarifa na itakuwa inaondoa mmoja mmoja?

    umepoteza rais, makamu wa kwanza wa rais, katibu mkuu kiongozi, mawaziri, wabunge... harafu unauliza takwimu?
  2. KRG1

    Mashine ya Kutengeneza Chakula cha Kuku

    vertical feed mixture inaweza kukusaidia zaidi inatumia motor ndogo na umeme pia
  3. KRG1

    Mapokezi ya ndege jijini Mwanza kupokelewa na Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Spika

    hii budget ya kupokea c afadhali walipe deni? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. KRG1

    Gari lililobeba mzigo upi unapenda lipate ajali karibu na nyumbani kwenu?

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] umeniua mzee
  5. KRG1

    Trump calls London Mayor Sadiq Khan ‘a stone cold loser’

    wamarekani wanaangalia uwezo, siyo wapi unatoka ukabila utaua wabongo cjui kakobe onyesha kabuli la babu yako watu wamesha pita hayo yote. Karia,Ulimwengu,Iyakuze...
  6. KRG1

    Waziri Kabudi: Nasema kamwe hatutapiga magoti, tumeona vihoja vyao

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  7. KRG1

    Wadada zetu ni mtongozo gani uliependa pale kidume kilipokuja kuji express kwako

    we nenda na ukweli wako kama utawapata, kama hauna gari azima , mwambie yako hawapendi uhalisia sometime wanapenda kuambiwa sana c lazima uongopee utatoa wapi ukweli wote huo?
  8. KRG1

    Wadada zetu ni mtongozo gani uliependa pale kidume kilipokuja kuji express kwako

    cku hizi mapene tu, story hawataki au uwe muongo make wengi hawapendi ukweli!
  9. KRG1

    Wadada zetu ni mtongozo gani uliependa pale kidume kilipokuja kuji express kwako

    inaoneka nawewe unaboronga unataka kujifunza
  10. KRG1

    Hii ndio tofauti ya Easter Bulaya na Steven Wassira Bunda , Wassira alipiga porojo tu , Bulaya anatenda

    [emoji16][emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. KRG1

    Suala la ajira linazidi kuwa janga Tanzania

    ajira zimeongezeka jeshini, make koro show lazima zibanguliwe
  12. KRG1

    Hospitali za SDA (Wasabato) hili swali lina umuhimu gani?

    kabila ndo tatizo make mnaweza kuwa wagonjwa wawili kumbuka form zenu zinapelekwa kwa doctor either mgonjwa mmoja ni kabila moja na doctor unategemea nani atapata huduma nzuri na haraka hivyo hivyo na vituo vya police,mahakama na guest house.
Back
Top Bottom