Trump calls London Mayor Sadiq Khan ‘a stone cold loser’

... Trump anawachana mule mule kwenye ardhi yao! Jamaa hakopeshi.
Hakuna kitu anachokipenda Trump kama brexit na ndio maana ameenda UK wakati muafaka kabisa kwa kua may anaondoka madarakani na chaguo la Trump ni boris akijua kabisa Boris anataka brexit

Kwa kifupi ikitokea brexit UK itakua ipo weak sana kwenye negotiations hasa za kibiashara na ndicho uongozi wa marekani unachotaka kukiona

Trump anataka umoja wa ulaya uliodhaifu au hata isambaratike yote ili aweze kuiminya nchi moja moja maana kwa sasa kwa EU yote inakua ngumu na hapa wazungu wa UK wanazungukwa bila kujijua na ndio maana ameenda kukutana na boris Johnson pamoja na yule kiongozi wa brexit party farage na kaanza kuwaharibu wakina khan kisaikojolia toka akiwa kwenye ndege

Pata picha may angeenda marekani halafu akifika pale aanze kuponda viongozi wa marekani na kuanza kumsifia labda kiongozi wa upinzani hapa ungesikia wamefanyiwa meddling au ndio angefanya Putin hapo ungesisikia vikwazo vinaanza
 
Mhh.. Kwahiyo mkuu haya yote unayosema M16 hawayajui ili kumdhibiti huyu Trump
 
Boris sidhani kama atapewa hiyo kazi maana wameisha anza kumuundia zengwe
Hapo atawekwa mtu tofauti kabisa na tunaemdhania
 
Back
Top Bottom