Imebidi niweke choo cha kuchuchumaa hapa kwangu

Imebidi niweke choo cha kuchuchumaa hapa kwangu

Mbona wazungu ndi zao frozen food lkn wanadunda
Ni uamuzi wa mtu awe mzungu au msukuma,frozen food ni cheap na kuna wazungu cheap vilevile ndiyo maana kansa inawasumbua sana huko uzunguni.Huwezi kuniambia mzungu au msukuma anayeipenda afya yake atapika wali ukae wiki afu aweke kwenye microwave,kama ni nyama au mboga mbichi sawa iwe frozen hata mwaka siyo umepika unaweka wiki then unapasha hata radha ni tofauti.
 
Ni uamuzi wa mtu awe mzungu au msukuma,frozen food ni cheap na kuna wazungu cheap vilevile ndiyo maana kansa inawasumbua sana huko uzunguni.Huwezi kuniambia mzungu au msukuma anayeipenda afya yake atapika wali ukae wiki afu aweke kwenye microwave,kama ni Nyama au mboga mbichi sawa iwe frozen hata mwaka siyo umepika unaweka wiki then unapasha hata radha ni tofauti.
Basi sawa frozen food zinasababisha cancer na frozen food ni kwa ajili ya watu cheap. Asante kwa somo hili.
 
Unaijua fiber?

Mimi nilishapatwa na fecal impaction kwasababu ya kuignore fiber. Nililia.

Sasahivi naheshimu fiber vibaya mno.
 
Hii idea inakuja inaondoka. Fafanua kidogo mkuu.
Ni kwamba ukikaa kwenye choo, kawaida si miguu hugusa sakafu. Sasa unaweka kigoda then miguu unaiweka kwenye kigoda, itafanya magoti yako yanynyuke na uwe kama umechuchumaa, ambayo ndio position nzuri ya kukata gogo.
 
Wakuu kwa miezi kama 6 hivi nimekua na sumbuliwa na haja kubwa kupelekea starehe ya maliwato kuwa kero hadi nikapata a minor haemorhoid.

Ni kosa langu najua, mfumo wa chakula changu ulibadilka, vyakula vyangu vingi napasha moto yaani fridge langu limejaa mavyakula bibie akija weekend ananipikia misos ya week nzima mi nafanya kupasha tuu

Kipind niko chuo nilikua napata shida sana vyoo vyetu vilikua vichafu sana hili liende kwa uongozi wa UDSM kule kwenye ma hall especialy hall 5....ni ma vyoo ya kukaa

Nilianzaga pata tabu sana toka enz hzo

Wanasema ukifika 30s jichunge sana na unachokula.lifestyle etc...nimesadik hilo na pia kupitia google nmeona maoni meng yanasugest kuwa style ya kukaa kwenye vyoo hivi vya kukaa ina mchango mkubwa sana

Maamuzi...juz fund kaja fanya yake hapa kwangu..na tokea juz nmeona mabadiliko makubwa kabisa

Nashaur....vyoo vya kukaa ni sumu narudia tena ni sumu kwa maendeleo ya anus yako

Weng wanakaa kimya tatzo hili ila amin nakwambia wahanga ni weng mnoo

Uzi tayar
Viporo vya wiki nzima.yani haja yako lazima iwe ngumu kama chuma
 
Kwa kuwa wenye bawasiri wanaogopa kutoka mbele Itabidi serikali ianze msako wa nyumba kwa nyumba kuwatafuta hawa wahanga wa mgolo ili iwasaidie
 
Ni kwamba ukikaa kwenye choo, kawaida si miguu hugusa sakafu. Sasa unaweka kigoda then miguu unaiweka kwenye kigoda, itafanya magoti yako yanynyuke na uwe kama umechuchumaa, ambayo ndio position nzuri ya kukata gogo.
Sawa sawa mkuu. Nimepata idea ila ukiteleza r.i.p
 
Sawa sawa mkuu. Nimepata idea ila ukiteleza r.i.p
Huwezi kuteleza maana si bado umekaa juu ya choo? Unaeza tengeneza ka kibao kadogo km unaona kigoda ni kirefu. Kumbuka, kigoda hakiwekwi juu ya choo, ni chini sakafuni. Na wewe umekalia choo km kawaida. nikipata picha ntakuwekea.
 
download.jpeg
 
Choo cha kukaaa sio shida,shida usafi...Sabuni ya maji,toilet paper. Kabla ya kukitumia kisafshwe na mfuniko uwe vertically ili kikalip kiwe kikavu always...unyevunyevu unaleta fungus na stuffs like hzo...(unaweza google usafi wa kutumia vyoo vya kukaa).


Any way...Umefanya kitu kizuri maana. CHOO CHA KUCHUCHUMAA KINASAIDIA FLEXIBILITY YA MMENG'ENYO...na stamina ya misuli ya paja na goti...GOODJOB
 
Huwezi kuteleza maana si bado umekaa juu ya choo? Unaeza tengeneza ka kibao kadogo km unaona kigoda ni kirefu. Kumbuka, kigoda hakiwekwi juu ya choo, ni chini sakafuni. Na wewe umekalia choo km kawaida. nikipata picha ntakuwekea.
Thank you mkuu
 
Cha kukaa hakina starehe mi sikipendi unatamani upande juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom