Mteja anaona ni bora Dstv watoe ofa kwa wateja waliolipia package za michezo wakati ligi mbalimbali za ulaya zikisimamishwa kuepusha kusambaa kwa virus vya Corona huku tayar wakiwa wamelipia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa angefanyia Upuuzi huu dar mfano maeneo ya Mbagala/ Temeke/ Buguruni/Mwenge ...Yaani angekuwa R.I.P zamani sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi namkopesha muhitaji hasa mwisho ni 10% ya anachokiomba akikataa basi mfano anaomba nimkopeshe laki mbili, namwambia kiasi nilichonacho ni 20,000 tu basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu bodaboda wapo kwenye sayar yao maana
1.Anaweza kuweka hazard indicator safari yote
2. kuwasha indicator safari yote
3. kukatiza ghafla nyuma, mbrle, ubavu mwako
4. kuchubua rangi
5.kuginga site mirror
6. kugonga bampa
Sent using Jamii Forums mobile app
LEO WAMETESA WATU KILE KIBAO CHA BARABARA KUFUNGWA WANGEKIWEKA MAPEMA TU BAADA YA KUTOKA M.CITY WENGI WASIOJUA IKABIDI WAGEUZE WACHACHE NDO WAMEPITA CHUO CHA ARDHI
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kukuta natumiwa msg nila clear bili yangu ya mwezi elfu 71,000.. wakati mi sijawahi hata kuomba hiyo huduma au kutumia. kufuatilia kumbe walikosea namba ya simu, ujumbe ndo ukaja kwangu kimakosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hali ya kawaida haiwezekani wanafunzi darasa zima wapate matokeo yanayofanana 1pts 7. Ni vyema wizara ikachunguza. Nenda popote Statistic haileti kitu kama icho.
Kwa human nature uwezo wa Kufikiri/kutafakari/kukariri/kuelewa havifanani.Mimi nakataa 100% darasa zima kupata 1pts 7.
Sent using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.