COVID 19: Serikali ipige Marufuku bar, lounge na night clubs

kijana13

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,981
3,611
Kwa nilichokishuhudia jana mitaa ya sinza near mapambano... Yaan lounge imejaa Huwezi hata kunyosha mkono na mnapishana Ubavu Ubavu. Yaani watu they interact Utadhani Hakuna corona. Kama basata ilivopiga Marufuku wasanii kuimba na kufanya show.. Why huku kwenye lounge kumesahaulika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Dodoma bar zake nazo hali ni hiyo hiyo mfano bar maarufu ya Chako ni Chako na nyinginezo watu wanajazana utadhani hakuna huun ugonjwa.
 
Mjomba kasema kuanzia kesho anaanza kukamata wazurulaji mitaani kwaiyo usiwe na shaka atawakamata kwenye mikusanyiko alafu atawapeleka kwenye milundikano police hapa bongo corona hana nafasi kuwa na amani
 
Mikusanyiko yetu inaweza kuwa bado salama mkuu,iwapo tutaendelea kufata sheria za kujikinga,kunawa mikono ikiwemo.kumbuka wabongo wengi wameajiriwa kwenye hizo sector Kama unataka kuua watu njaa basi funga hayo maeneo.fatilia maisha ya wafanyakazi wa mahotel ya kitalii baada ya kufungwa halafu njoo unipe mrejesho
 
Ingawa tunategemea kutoka nje ndio tupate mlo wa jioni, how can we flatten the curve to the last infected person becomes healed/or dies, Without a complete National Lockdown? Je, Kwa utaratibu huu wa Sasa wa changanyikeni, ugonjwa usambaao Kama mafua yafanyavyo utachukua muda gani kuisha nchini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe ulienda kufata nini huko mpaka mnapishana ubavu ubavu?

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
Kwa nilichokishuhudia jana mitaa ya sinza near mapambano... Yaan lounge imejaa Huwezi hata kunyosha mkono na mnapishana Ubavu Ubavu. Yaani watu they interact Utadhani Hakuna corona. Kama basata ilivopiga Marufuku wasanii kuimba na kufanya show.. Why huku kwenye lounge kumesahaulika.

Sent using Jamii Forums mobile app
itakuwa board room hapo hatari sana nilikuwepo
 
Back
Top Bottom