Nifanyaje ili niache kupanga? Kipato 400,000 kwa mwezi

View attachment 1342202
Igawe mara tatu

1/3 = Matumizi binafsi (nauli/msosi/vocha, chenchi ndogo ndogo eka kwa kibubuu etc)

1/3 = Akiba (lengo kubwa likiwa ujenzi) --- nkikustukizia na mimi sijajenga... sitakupa lift hata ka wanyeshewa mvua ama jua kali

1/3 = matumizi ya kijamii (zaka, michango muhimu kwa ndugu, ya kuhonga vitu vidogo vidogo, chenchi ndogo ndogo eka kwa kibubuu etc)
(1/3+1/3+1/3 = 1 = 400,ooo)

*Uwe mwaminifu katika hesabu ulizojiwekea
Guest& bar awe anaenda mara moja tu kwa mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Galama za ujenzi utegemea na sehemu unayoishi na unayotaka kujenga ni Jijini ni manispaa ni mji au ni kijijini ungeeleza kwanza unakaa wap na unataka kujenga wap
 
Habari wakuu?

Kwa kipato cha 400,000 kwa mwezi nibajeti vipi mambo yangu mpaka nifanikiwe kujenga? Sina wategemezi wengi, hawafiki watano kwa jumla yao. Kipato hicho hakibadiliki sana kwa kila mwezi, niambie ni mbinu gani ulitumia kufanikiwa kujenga kwa kipato kama hicho au unaweza kufanyaje kwa kipato hicho ukajenga?

Maoni yako yanaweza kumsaidia na mwingine mwenye shida kama yangu.
...Cheza SpotPesa!,,
 
Back
Top Bottom