Hatimae leo nimempeleka Polisi

mfate42

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
3,768
4,260
Habarini za mdahuu,..ngoja niende moja kwa moja kwenye mada..kuna kijana nilimkopesha kiasi Cha pesa Kama laki mbili..kwa matarajio ya kurudisha baada ya miez miwili. Matokeo yake mwaka Sasa unakaribia kukata,..tangu mwezi wa 3 jana Hadi hivi leo 2020..

Leo nimeona isiwe kesi nikampeleka kituoni ili tuandikishiane,.hela yangu ataileta lini..nimeshukuru amekubali kuwa namdai..na ameandika tarehr ya kuleta pesa yangu..

akikiuka agizo inabidi alale ndani hata siku tatu tu ilia ashike adabu..

N:B ukitaka ubaya dai chako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukitoa pesa kwa mtu akakuzima,ukaenda polisi akakubali kwamba unamdai.my friend kunywa maji mengi.

maana polisi au kwa mjumbe mmeenda kuandikishana malipo,anaweza sema uwezo alio nao ni kukupa elfu 15 kila mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjue tu wakati mwingine tunania ya kulipa kabisa tatizo ni vyuma vimekazaa...tuvumiliane wakuu..
 
Mie Kuna mtu namdai 7m kavu nimemuacha aamue mwenyewe kulipa au kutolipa.
Lakini atambue huko aliko kuwa Either Maiti yake italipa au Maiti yangu italipwa. Deni Lazima lilipwe!
 
Habarini za mdahuu,..ngoja niende moja kwa moja kwenye mada..kuna kijana nilimkopesha kiasi Cha pesa Kama laki mbili..kwa matarajio ya kurudisha baada ya miez miwili. Matokeo yake mwaka Sasa unakaribia kukata,..tangu mwezi wa 3 jana Hadi hivi leo 2020..

Leo nimeona isiwe kesi nikampeleka kituoni ili tuandikishiane,.hela yangu ataileta lini..nimeshukuru amekubali kuwa namdai..na ameandika tarehr ya kuleta pesa yangu..

akikiuka agizo inabidi alale ndani hata siku tatu tu ilia ashike adabu..

N:B ukitaka ubaya dai chako

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakat unaweza kufikiri unamkomoa mtu kumbe kuna mambo ya msingi ataenda kujifunza. Ukimlaza ndani au akikaa maabusu kidogo anaweza kutoka akiwa na akili nyingine mpaka ukashangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukitoa pesa kwa mtu akakuzima,ukaenda polisi akakubali kwamba unamdai.my friend kunywa maji mengi.

maana polisi au kwa mjumbe mmeenda kuandikishana malipo,anaweza sema uwezo alio nao ni kukupa elfu 15 kila mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi zetu ya amani,Sana,ingekuwa Ni kwingine,tuseme italy,ukikopa utalipa tu labda uwe hujipendi
 
Pesa sasa hivi ina thamani sana na inapatikana kwa mbinde sana. Mkopeshe mtu "at your own risk". Sio kwamba wadeni wengi hawataki kulipa tatizo ni kuwa hawana pesa yakulipa madeni. Na hakuna cha ndugu wala rafiki wote wamekuwa 'bob mazishi". Na kipindi hiki ukiwa mkopeshaji mzuri marafiki na ndugu wengi watakuwa maadui zako maana watakukopa halafu kulipa matanga hapo ndio urafiki na undugu wenu unapoisha. Ukitaka ubaya zaidi endelea kudai chako ndipo utakapojua kuwa siku hizi laki ni pesa!

Kama alivyoshauri mdau mmoja hapo juu kuwa kopesha pesa unayoweza kupoteza. Maana yake mkopeshe mtu kiasi cha pesa ambacho hata akilala nacho mbele roho isikuume na wala usihangaike kupoteza muda kumtafuta ili umdai. Kwa maana iliyo rahisi mkopeshe mtu sadaka ila akirudisha sawa asiporudisha sawa.
 
Back
Top Bottom