Wandugu umofia kwenu.
Napenda kufahamu labda mimi sio mtunzaji au nakosea sehemu. Izi racket za kuulia mbu za kuchaji na umeme mbona kila nikinunua hazina maisha marefu, yani ata mwezi hautoboi zinakufa.
Nakosea kwenye utunzaji, manunuzi (nanunua feki) ama zenyewe ndio zilivyo hua hazidumu...
Sasa sijui kule Niger itakuwaje.. Maana ndiye tulimtegemea ata provide ulinzi dhidi ya vibaraka wa mabeberu
Sent from my SM-G988B using JamiiForums mobile app
Ripoti zinasema Yevgeny Prigozhin pamoja na wasaidizi wake 10 akiwemo Dmytriy Utkin ambaye pia ni muasisi mwenza wa Wagner Group wamefariki baada ya ndege walipokuwa wakisafiria kuanguka uko Russia
Sent from my SM-G988B using JamiiForums mobile app
Comrade hii ni private company, recently employed tena mkuu wa kitengo na ni target based employment lakini ukimsikiliza au kufanya nae kazi unashindwa elewa vigezo gani vilivyotumika muajiri.
Habari za weekend wakuu.
Niande moja kwa moja kwenye hoja. Umeshawahi kua na boss au mkuu wako wa kazi mwenye akili ndogo kuliko wewe?
Binafsi sijisifii kua nna akili sana, ila changamoto ninayo pitia ni kua na mkuu wa kazi ambaye kwanza hashauriki na usitoshe naweza kusema mwenye uwezo mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.