koyyote
Member
- May 29, 2023
- 16
- 38
Habari za weekend wakuu.
Niande moja kwa moja kwenye hoja. Umeshawahi kua na boss au mkuu wako wa kazi mwenye akili ndogo kuliko wewe?
Binafsi sijisifii kua nna akili sana, ila changamoto ninayo pitia ni kua na mkuu wa kazi ambaye kwanza hashauriki na usitoshe naweza kusema mwenye uwezo mdogo kifikra na kimawazo kuliko mimi. Yani ni mtu ambaye hafanyi kazi yeyote, kazi anayopewa na mkuu wake ananipa mimi kama ilivyo na nikimpatia, haipitii kuisaili na yeye anaipereka juu kama ilivyo, ikiwa na makosa anarudi kuwaka uku.
Mtu ambaye ukituma kazi kwenye excel, word etc. na akitaka kuongeza au punguza jambo lolote ata iwe kuongeza column, anakuita ofisini kwake na anakuonesha kwenye kompyuta yake marekebisho hayo then anakutumia tena kwenye email uyafanya alaf umtumie tena.
Hivyo ni vituko vichache vya mkuu wangu, ila tunaishi naye kibishi ivyo ivyo.