Recent content by kotundia

  1. K

    Naomba ushauri: Mwanamke wa namna hii anastahili adhabu ama msamaha?

    Mkuu Mwanamwana...pole kwa mkasa huo... but to be honesty principle ya kutopekuwa simu ya mpenzi kwa kigezo cha privacy mara zote imeleta shida kwa watu wengi including me..nasema hivi kwa sababu mapenzi ya dhati ni zaidi ya privacy ndo maana ukigundua otherwise moyo unauma. Kwa scenario hiyo...
  2. K

    Utafiti: maoni ya wananchi juu ya uvaaji nusu uchi kwa wanawake

    Pengine turejee mwanzo wa binadamu kuvaa mavazi, kama sikosei maandiko yanathibitisha baada ya Adam na Hawa hawakuwahi kuvaa nguo/mavazi hadi walipotenda dhambi ndipo wakafunuliwa kujiona uchi.. na ndipo walipoanza kufunika sehemu zao za siri na ndio mwanzo wa mavazi...kama utakubaliana na dhana...
  3. K

    Ukitaka raha ya ndoa kaoe mpare

    kwa maoni yangu mke bora anategemea sana malezi ya wazazi na ucha mungu hizo habari za makabila ni story tu...miaka michache iliyopita tuliaminishwa kuwa wahaya ndio wanagawa papuche kama njugu na baadhi ya watu wakagwaya kuoa au kuolewa na wahaya but currently ushahidi unaonesha wanyakyusa na...
  4. K

    Wengi wanaosomesha wake/wachumba, hupigwa chini baada ya muhusika kupata kazi

    kaka hiyo ipo sana wanawake wa siku hizi hawana fadhila kabisa....nina ushuhuda wa rafiki yangu alikua anagawa boom lake la chuo wanatumia wote na mpenzi wake, aliwahi kumlipia ada ya semister, kwa kumuuandaa uyo mdada kuwa mkewe alimtafutia tempo kwenye ofisi ya wizara moja kubwa ambapo kakake...
  5. K

    Wanawake ni viumbe hatari sana duniani

    kumbuka eva alikula ile kitu na nyoka kwanza ndipo akamshawishi adam wale pamoja so utagundua asili ya wanawake ni kwenda kinyume na maagizo
  6. K

    Msaada kwa watu wanaotaka kutoka kwenye ndoa

    ukiwa muumini wa dini yoyote utakuwa unajua kuwa ndoa ni fungate lililo chini ya mamlaka ya mungu hivyo ukiona ndoa imedumu ni kwa baraka za mungu na kama imevunjika pia ujue ni mpango wa mungu kuepusha dhambi zaidi kwa kutendeana uovu na uzinzi..waweza ona kuwa wanandoa wanateseka kwa ajili ya...
  7. K

    Naomba mnisaidie mbinu za kumrejesha kwenye mstari mpenzi wangu

    kuna kitu cha msingi ni vyema ukielewe kuwa wanawake wanabadilika kama kinyonga leo anapenda na kesho hapendi japokuwa si mara zote akisema hapendi kuwa hapendi mara nyingine anavutwa na penzi jipya nje na anahisi atafurahi huko nje...unachotakiwa kukifanya ni kua peshent ili usijumize...
  8. K

    Nimekolewa na mke wa mtu jamani

    kaka ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga siku zako zinahesabika
  9. K

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Mara nyingi vikuku hutafsiriwa vibaya na nina hakika wanaovivaa wanajua hivyo but wanaendelea kuvivaa kwa sababu ndo vile.. jaribu kuchunguza aina ya wanawake wanao vaa vikuku utagundua wako katika steji flani kiuchumi na haiba wengi wao japo si wote wamewahi kunywa pombe na kuvaa mavazi mengine...
  10. K

    Hivi kuna sheria inayomruhusu mwanaume kumshtaki mwanamke kwa kosa la kumbaka/raping?

    sheria ni taaluma inayokua na iko hai ndo maana kila uchao kuna mabadiliko ya tafsiri ya sheria katika baadhi ya matendo kwa msingi kwamba kwa principle za sheria za kiingereza ili kubakwa kutimie lazima kuwe na ushahidi wa kuingiliwa bila ridhaa, kuingiliwa kamili yaani penetration pamoja...
  11. K

    Kuhusu ndoa za jinsia moja: Katiba yetu ya sasa inasemaje?

    ibara ya 53(3) ya rasimu ya katiba mpya inaelekeza kubadilika mfumo kutumika sheria za kimataifa za haki za binadamu kuwa wa moja kwa moja ( monoisim) tofauti na sasa ambapo sheria fulani ya nje haiwezi kutumika hadi ifanyiwe rattification kuweza kureflect jamii yetu. Ni kwa mtazamo huu utaona...
  12. K

    Aisee Ushuhuda wa macho unauma sana jamani!

    kaka ukiskia wanawake ndo hao, hata umpe nini bado atakusaliti mchana kweupee sijui mioyo yao ikoje. Nakushauri tulia kwanza wala usiendelee nae jifunze kumkosa bila hivyo utashangaa umemsamehe leo kesho anapigwa tena gem na mtu mwingine hapo utaumia zaidi. Vuta subra pata nafasi ya kumuomba...
  13. K

    Naombeni ushauri, mahusiano yangu yanatawaliwa na ugomvi na matusi

    Bi dada unatakiwa kuwa macho...umbali kati yenu ndo mchawi hapo.. na si kitu kingine, ukumbuke mapenzi means ukaribu ndo maana first time mlionana mkapata hisia then mkakaribiana mkaongea na then you kept closer hope to penito distance so utaona kuwa mbali ni against na principle za love.. kwa...
  14. K

    Sina hamu na mume wangu

    what makes u a super woman is your ability to win difficult games like this, dada kila kitu hutokea kwa sababu...japo sababu zinatofautiana nakushauri uamini kuwa hilo limetokea ili unapomsamehe mumeo aona sababu ya kukupenda wewe na sio wanawake wengine...mara nyingi wanaume hutafuta tofauti ya...
  15. K

    Sina raha na mpenzi wangu!

    Zipo sababu nyinyi za tabia hiyo, but kimsingi yaweza kuwa genuine reasons au tabia za michepuko. Uzoefu unaonyesha kwa hapa dar suala la kuwa na foleni linatumiwa vyema na wasaliti wa ndoa kupata muda wa kufanya mambo yao, but kabla haujafika huko try to think positive, amini hakusaliti then...
Back
Top Bottom