Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,812
- 6,327
Habari za leo wadau,
karibuni pamekuwa na kesi nyingi za wanandoa kukosa uamininifu na mabalaa mengine kibao.
Mimi nadhani imefika wakati watu waanze kutanguliza furaha na afya zao mbele kuliko kufurahisha jamii. Kuna wanandoa wapo kwenye ndoa kwa kujikaza na kuvumilia tu lakini ile furaha na mapenzi ya ndoa hawana.
Je ni sawa kweli watu wazima kuishi maisha kama jela? Je watu waliochoka ndoa zao hawana haki ya kuondoka na kutafuta furaha sehemu nyingine? Baada ya maswali hayo mawili ningependa nijue njia za kisheria ambazo watu waliochoka ndoa zao wanaweza kuzifuata kuachana na ndoa zilizowashinda.
N.b: Sijaoa lakini nadhani imefika wakati ndoa zisiwe jela bali ushirika wa furaha.