Sina raha na mpenzi wangu!

Sina raha na mpenzi wangu!

Mie mzima best.
Mfungo huu ruhsa kumissiana!!!!!
Hiyo comment mie hata sijui ilikuwaje nikai post!!!!

Hahahahahaaaa! Usjali bhana, sometimes ni heri ukijifyatua! Sio busara tuuu! Lol!

Uniekee skukuu yangu!
 
Simple!
Kama umeshaongea akaziba masikio anza kuongea kwa matendo,
Leo akirudi saa 4,wewe kesho unarudi saa 5,akirudi saa 6 wewe kesho saa8!
Ataelewa tu!!!!
Wengine wanaelewaga kwa practical tu blah blah hazipenyi kwa brain zao!!!

Kwanza nimekumbuka, kwani house girl si mzuri? Hamisha ma upendo yako angalao wiki mbili afu hakikisha amejua. Mbona atakupigia magoti kesho tu.
 
Zipo sababu nyinyi za tabia hiyo, but kimsingi yaweza kuwa genuine reasons au tabia za michepuko. Uzoefu unaonyesha kwa hapa dar suala la kuwa na foleni linatumiwa vyema na wasaliti wa ndoa kupata muda wa kufanya mambo yao, but kabla haujafika huko try to think positive, amini hakusaliti then anza kufanya uchunguzi taratibu kwa bahati nzuri mwanamke akikolezwa hata usiku kwenye ndoto anaweza akayasema yote na miguno yao ile ya kiwiziwizi, but plis be patient usije ukapata presha, ukiona hupata uthibitisho wa kusalitiwa ijue ni tabia ya kujisahau tu hasa kwa kuvutwa na marafiki ambao hawajaolewa maana hao wanawafanya wake zetu waone walikosea kuolewa mapema so wanatamani freeness ya singles. tulia mkuu fanya uchunguzi haya yanawakuta wengi
 
Inabidi ujue ratiba zake uko jiji kama la dar unataka mkeo arud mapema hujui hilo folen la mjin
 
Zipo sababu nyinyi za tabia hiyo, but kimsingi yaweza kuwa genuine reasons au tabia za michepuko. Uzoefu unaonyesha kwa hapa dar suala la kuwa na foleni linatumiwa vyema na wasaliti wa ndoa kupata muda wa kufanya mambo yao, but kabla haujafika huko try to think positive, amini hakusaliti then anza kufanya uchunguzi taratibu kwa bahati nzuri mwanamke akikolezwa hata usiku kwenye ndoto anaweza akayasema yote na miguno yao ile ya kiwiziwizi, but plis be patient usije ukapata presha, ukiona hupata uthibitisho wa kusalitiwa ijue ni tabia ya kujisahau tu hasa kwa kuvutwa na marafiki ambao hawajaolewa maana hao wanawafanya wake zetu waone walikosea kuolewa mapema so wanatamani freeness ya singles. tulia mkuu fanya uchunguzi haya yanawakuta wengi

Ahsante kwa maoni yako kaka nimekuelewa.
 
Hizi ndo akili za watoto wa siku izi. Na huyu nae ana mke na anashindwa kutatua tatizo ka hilo mpk aje aulize jf.
 
Hi wana JF bila shaka mko poa na wazima wa afya njema!!!
Naombeni mawazo yenu!
Mke wangu hazingatii muda wa kurudi nyumbani nifanyeje?????

Mpitie kazini kwake mrudi wote nyumbani, fanya kama mara mbili tatu ili ujue muda anaotoka kazini na sabau zipi zinazomchelewesha. Ukiona kuna sababu ambazo ziko nje ya uwezo wake basi kubali yaishe.
 
Junior;
Kwani kuwahi ni nini? Mbona tupo tunaochelewa kila siku tena hatuulizwi tulikuwa wapi?? Nasema, ukianza kumchunguza akichelewa mda si mrefu utamnyima kazi halafu baadaye utampiga marufuku kwenda sokoni na mwisho utamwondolea marafiki.
Utamuua bure na mawazo. Mwache ajiachie na marafikize, usiogope mkeo ni mkeo tu. Kuchelewa kurudi kama alikuwa anachart na marafiki si mbaya. Mshauri kuwa awakaribishe pia kwake si kila siku huko huko

wooooooooooooooooooooyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyoooooooooooooooooooooooooooooooooooo

ur very smart aisee!
 
Back
Top Bottom