Wanawake ni viumbe hatari sana duniani

Wanawake ni viumbe hatari sana duniani

tukubaliane Tu mtoto lazma afanane na baba km hatak kufanana hata kucha basi wanaume tuwakatae maana mpk dna tena..!

mdogo wangu ashasema mtoto asiefanana na mim
au ndg zangu huyi si wangu hata kidogo
ukweli mtoto anafanana na wazazi wote wawili hasa baba
 
hivi sheria ya mauaji ikoje ikitokea mtu akaua kwenye situation kama hiyo mara tu baada ya kupata habari hiyo
 
Dah ndo muamini leo kuwa 40% ya watoto wa kwenye ndoa si halali kwa mwanaume ila tuvumiliane tu!

Huenda nawe si halali kwa baba yako.
 
Ila kwa upande mwingine....

Mwanaume kama umeishi na mke miaka 9

Halafu watoto 2 sio wako..

Kafanye sperm analysis

wala haina haja
ngoja nkwambie kuna wanawake waliolewa ili kuridhisha familia zao tu
so kinachotokea moyoni anakua na mtu anempenda ndo so anakua na wewe but akilini
kwake anavizia siku za kupata mimba anaenda kwa mwanaume anaemtaka
na ukute anadanganya hadi mumewe labda yuko hedhi
 
Mambo ya kawaida sana hayo kwa dunia ya 3 kulea mtoto/watoto sio wako!Piga moyo konde endelea na maisha!Maisha sio ndoa tu hasa ukijua kuwa sehemu ambayo wanawake wanatupatia ni hapo kutupa watoto wasio wetu ehehehe
 
sasa NN jamaa mwenyewe kesha justify kwamba yeye ni mutant gene, alitegemea nini??
mutation mekupiga kwenye gametic cells

hmm! kama umesoma vizuri pale juu nimesema haikunitokea mimi, kwa hiyo jina langu haliendani kabisa na hii habari, eti mutation imetokea katika gametic cells zangu!! mkuu nitake radhi...
 
MUNGU EPUSHIA MBALI BT NKIGUNDUA NAKUCHNJA..bora nioe mwanamke mwenye mtoto nikiwa najua kuliko kufichwa nije jua mwenyewe patachmbka
 
kumbuka eva alikula ile kitu na nyoka kwanza ndipo akamshawishi adam wale pamoja so utagundua asili ya wanawake ni kwenda kinyume na maagizo
 
Nina ndugu yangu, mtoto wake wa pili si wa mumewe. Somehow tulikuja kugundua, kijana kawa mbaba tu wa over 45. Nikamshauri yule mama kwamba ni vizuri amwambie, akakataa kisa anaogopa mumewe aliye mtunza atajisikia vibaya.

Kila nikimwangalia huyo bro, roho inauma.

duh! thats very bad.
 
Pole zake mtoto ambae c wako utamjua tu kwa vingi,tabia,sura,mwili wke mimi na baba yangu mdogo watoto wke 3 c wake na ndgu wote wanajua.kuanzia sura hawafanani nae au mama yao kwel wanaume tuna kazi
 
hivi mtu unaamua kuoa, halafu unaishi na mke yako miaka tisa, mumezaa watoto 2, siku mnakorofishana anakuambia mtoto sio wako!! unaamua kuenda kuangalia DNA unakuta ukweli sio wako!! yani miaka yote ulikuwa unalea mke na mitoto ambayo sio ya kwako ambayo unajua ni yako !! hii ni true story imetokea rafiki yangu inaweza ikakutokea wewe mimi pia...usiamini kiumbe kinachoitwa ke hata usiku mmoja, bora upoteze pesa na muda wako mapema pale tu mtoto anakozaliwa kuepuka gharama zisizokuwa za kwako. Bora kulea watoto yatima huku ukijua kabisa ni yatima kuliko kulea mitoto ya kusingiziwa halafu baadae unakuja kujua sio yako!! inauma sana...kuwa makini na wadada wa mjini.

women are like ocean, full of secrets and hidden things.
 
Mimi nina wazo moja, kama mko kwenye kipindi ambacho mnasaka mtoto, kwanini msisafiri angalau nje ya mji ambako hakuna watu wengi, au mwende vijijini mwenu hukoooo kwa mwezi mmoja hivi, huko sasa muwe mnaingiliana kimwili na kimaumbile mpaka mtakapopata mnachotafuta?

Hapa kiasi sasa itapunguza kuletewa watoto ambao si wako...!

hiyo inahusianaje na kubambikiwa mtoto?
 
Kwakweli inauma sana sana usiombe kikutokee ila kisikie tu kwa Jirani yako eee Mungu tusaidie
 
Back
Top Bottom