Recent content by koryo 2

  1. K

    Waziri Ummy: Kauli ya Rais "Kufyatua watoto" ilikuwa ni utani, Sera ya Taifa ni uzazi wa Mpango

    Katika maandiko Matakatifu tunatakiwa sana tuwe waangalifusana katika matumizi ya ulimi. Ulimi unaweza kujenga au kubomoa. Juzi juzi Mhe. Rais alitamka kuwa Fyatueni watoto fedha za kuwasomesha zipo. Haya ni matumizi ya ulimi ambayo labda aliyatamka kwa matani lakini inawezkana watu wakatafsiri...
  2. K

    Mtanzania ashika nafasi ya 5 Marathon Olympic "Rio 2016"

    Hongera xana NDUGU FELIX ALPHONCE SIMBU kwa jitihada ulizoonyesha.
  3. K

    Utaratibu wa kumsimamisha kazi mtumishi wa umma

    Kwa siku za karibuni kumekuwapo na wimbi la kusimamisha watumishi kila kona ya nchi. Leo utasikia Mkuu wa Mkoa kamsimamisha fulani, Mkuu wa Wilaya kamsimamisha fulani, Mkurugenzi Mtendaji kmsimamisha fulani. Sote tunajua kuwa kuna taratibu za kuwasamisha watumishi lakini cha ajabu sheria...
  4. K

    Ukweli kuhusu Wakuu Wa Shule za Sekondari Walioshushwa Vyeo- Arusha

    Hoja yake ni ya msingi. Evaluation inafanyika baada ya miezi mitatu. Inawezekana hizo helazaziadaziko Benki.
  5. K

    Halmashauri: Moja ya chanzo cha umasikini kwa taifa

    Wizi wa fedha za ESCROW mbona hazitajwi?.
  6. K

    Halmashauri: Moja ya chanzo cha umasikini kwa taifa

    Acha kutukana wenzako. Jikite kwenye chanzo na siyo matusi.
  7. K

    Sikubaliani na malengo ya TASAF awamu ya tatu kwa kuwagawia kaya maskini fedha

    Utekelezaji wa TASAF awamu ya tatu umeanza kwa kubaini kaya maskini na kuwagawia fedha. Binafsi sikubaliani na malengo ya TASAF awamu ya tatu kwa kuwagawia kaya maskini fedha. Kwa ushauri wangu ni kwa nini fedha hizi zinazogawanywa kwa kaya maskini zisitumike kujenga miundo mbinu kwa ajili ya...
  8. K

    Vyuo Vikuu vilivyopokea fedha ambazo wanafunzi hawapo chuoni vyapewa siku 7 kurejesha fedha hizo

    Kazi nzuri Professa. Tunakutakia maisha marefu ili uje kuwa Rais wetu 2025.
  9. K

    Edward Lowassa atembelea shule ya Nanja Iliyoungua moto

    Poleni sana wanafunzi, Walimu na wanajumuiya wote wa Nanja kwa kuunguliwa na shule yenu. Nimesikitishwa sana kitendo hicho kiovu kwa kuwa mchango wangu katika ujenzi wa shule hiyo inafahamika. Nimeshiriki kujenga mabweni, madarasa na matenki ya maji. POLENI SANA.
  10. K

    Ukitoka Dar asubuhi unaingia Bunda saa ngapi?

    Utafika Bunda kesho yake saa tatu.
  11. K

    Jiji la Mwanza linavyoibiwa na wakusanya ushuru wa maegesho wa magari

    Serikali ilirudisha makusanyo yote ya mapato yakusanywe na Halmashauri yenyewe. Chanzo cha maegesho ya magari hapa Mwanza kinakusanywa na akina mama na wanaume walioajiriwa na Halmashauri kwa mkataba. Unapoegesha gari lako na baada kumaliza shughuli zako ili uondoke unatakiwa ulipe na upewe...
  12. K

    Safarini Dar: Msaada wa hoteli nzuri bei ya wastani

    Uende Namnaani Hotel iko Sinza pamepos sana.
  13. K

    Maria Sarungi ni nani?

    Huyo ni Binti yetu wa Utegi. She is very smart in discussions.
  14. K

    Kitilya na wenzake mambo bado magumu, Mahakama Kuu yatengua uamuzi wa Mahakama ya Kisutu

    Pole sana lecturer wangu H. Kitilya. Ukiwa pale UDSM 1978 - 1980 ulitufundisha kwa weledi mkubwa sisi wanafunzi tuliokuwa kwenye Kitivo cha Biashara na Uongozi na hasa masomo ya Principles of Accounting and Managerial Accounting. Kila kitu kina mwanzo na mwisho. Yote haya yataisha. Nimalizie...
  15. K

    Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

    Jitahidi kujieleza vizuri. Mbona hata sentensi zako hazieleweki Ndugu yangu?.
Back
Top Bottom