Ukitoka Dar asubuhi unaingia Bunda saa ngapi?

Ukitoka Dar asubuhi unaingia Bunda saa ngapi?

Hiyo costline akishuka kwenye gari anakua kama aliwekwa kwenye buti. Ila ataenjoy mbuga zote kubwa kuanzia Ngorongoro mpaka Serengeti.
Ahahaah h ni kweli mkuu hiyo njia ina vumbi sana JK alijaribu kuweka lami wanamazingira wakafungua kesi kupinga ujenzi wa barabara ya lami inayopitai mbugani.Nadhani serikali imeshinda tunasubiri JPM aweke.Ni short cut nzuri sana.Ila ukipata zile gari za tour guide unainjoy safari zaidi
 
Usafiri wa bus kwa sasa hauna estimate ya Muda. Tochi zimezidi. Muda wa kukaa barabarani umekuwa too much na Sumatra na wenzao police hawaoni athari zake kiuchumi. Imagine safari kama ya dar-dodoma 450km inacost 9 hrs.... This is too much from economy point of view. Kama maamuzi ya barabarani yanafanyika kwa kutangaza jicho la ajari then we are wasting time kujenga barabara. We need to keep time any yet save lives.
Aksante kwamchango wakonimekupata
 
kwa serikali iliyopita ilikuwa inakulazimu kufika kesho yake majira ya saa 3 mpka 4 hvi kama ukitumia usafir wa Osaka, kwa hali ilivyo ndani ya utawala huu, naamin kunakuchelewa zaid ya hpo
Aksante nmekuelewa vizuri
 
Ahahaah h ni kweli mkuu hiyo njia ina vumbi sana JK alijaribu kuweka lami wanamazingira wakafungua kesi kupinga ujenzi wa barabara ya lami inayopitai mbugani.Nadhani serikali imeshinda tunasubiri JPM aweke.Ni short cut nzuri sana.Ila ukipata zile gari za tour guide unainjoy safari zaidi
Aksante
 
Ukitoka Dar saa12 asbh tegemea kuingia mwanza usiku kuanzia saa5 mpka saa7 so mtalala mwanza kisha safari itaendelea alfajiri ivo kufika bunda n kwenye saa2 asubuhi ama saa1 na nusu..
 
Habari wana JF,

Natumaini mko salama kabisa.

Shida yangu naomba kujua nmekata tiketi ya kwenda Bunda katika basi la kampuni ya MJ coach, naomba nijue ukitoka asubi Ubungo Bunda unaingia saa ngapi?

Ni hayo tu natnguliza shukrni kwenu.
hili basi mkweche, tegemea kulala njiani sanasana mtalala shinyanga hapo limejitahidi sana, ungeuliza humu kwanza, yapo mabasi ya kisasa musoma express unafika siku hiyohiyo.
 
Ahahaah h ni kweli mkuu hiyo njia ina vumbi sana JK alijaribu kuweka lami wanamazingira wakafungua kesi kupinga ujenzi wa barabara ya lami inayopitai mbugani.Nadhani serikali imeshinda tunasubiri JPM aweke.Ni short cut nzuri sana.Ila ukipata zile gari za tour guide unainjoy safari zaidi
kwenye hii kesi nasikia na mkono wa Tundu Lissu ulikuwemo
 
hili basi mkweche, tegemea kulala njiani sanasana mtalala shinyanga hapo limejitahidi sana, ungeuliza humu kwanza, yapo mabasi ya kisasa musoma express unafika siku hiyohiyo.
Hata mim nineshangaa mkuu,mara nyingi ninaposafiri kupitia kutoka dsm kuelekea dodoma,ilo basi nalikuta mara nyingi limetaga njian
 
Bhoti, kama ukiondoka asubuhi Saa 12 alfajiri DSM utaenda kulala Singida siku hiyo kwa Sheria za Sumatra. Kesho Yake utaondoka na kufika Bunda Saa 9 alasiri Bhoti
 
Mwanza saa tano na nusu hadi saa sita usiku, ongezea nusu saa ya kushusha abiria nyegezi na Nata then ongeza two hours from mwanza to bunda
 
ungekata zinazopitia kenya kesho yake saa 5 ungekua bunda maana zile zinatembea hadi usiku
 
Habari wana JF,

Natumaini mko salama kabisa.

Shida yangu naomba kujua nmekata tiketi ya kwenda Bunda katika basi la kampuni ya MJ coach, naomba nijue ukitoka asubi Ubungo Bunda unaingia saa ngapi?

Ni hayo tu natnguliza shukrni kwenu.
Unaingia bunda saa 6 usiku
 
Back
Top Bottom