Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Waziri Mkuu mstaafu na aliyekuwa mbunge wa jimbo la Monduli Mh. Edward Lowassa alipotembelea shule ya Nanja ambayo iliungua moto usiku wa tarehe mbili mwezi wa nane jimboni Monduli.
Waziri mkuu mstaafu na aliyekuwa mbunge wa jimbo la Monduli Mh. Edward Lowassa alipotembelea shule ya Nanja ambayo iliungua moto usiku wa tarehe mbili mwezi wa nane jimboni Monduli.
Lowassa haendeshi na Mihemko wala MizukaBaada ya kelele nyingi humu Jamiiforums kuwa kwa nini hadi leo hajakanyaga KWENYE HIYO shule aibu zimemshuka kaona aende.LOOOO
hahahahhaahah......pole sana.....LowasaaaaaaaBaada ya kelele nyingi humu Jamiiforums kuwa kwa nini hadi leo hajakanyaga KWENYE HIYO shule aibu zimemshuka kaona aende.LOOOO
kaenda mikono mitupu, hana hata godoro moja,Baada ya kelele nyingi humu Jamiiforums kuwa kwa nini hadi leo hajakanyaga KWENYE HIYO shule aibu zimemshuka kaona aende.LOOOO
Nyie meshapeleka ninikaenda mikono mitupu, hana hata godoro moja,
Bora kuliko kwenda nawandishi hukoUkitaka kujua msaada wa mwanasiasa si bure, uliza makanisa misikiti nani leo anaenda au anatoa milioni za kumwaga kwenye harambee na kwenye majanga.
Tulivyo wepesi kusahau 2019 tutawasikia sana.
Watch out Mr Lowassa: usitoe msaada wowote; sera ya CHADEMA ni kususia michango kwani hiyo ni kazi ya Serkali.hahahahhaahah......pole sana.....Lowasaaaaaaa
Sasa amechangia kiasi gani?
kaenda mikono mitupu, hana hata godoro moja,