Recent content by korino

  1. korino

    JamiiForums Tanzania Angela Kiziga alichota bil 45+ peke yake bila kutoa mgao ?

    🤣
  2. korino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kwa mimi mama mkwe ni halali na huwa wanakuwa watamu sana

    Bi mkubwa hajatulia
  3. korino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kwa mimi mama mkwe ni halali na huwa wanakuwa watamu sana

    Kiroho haiko poa! Huyo mama sio mtu mzuri
  4. korino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini niepuke kivuli cha ex husband asiyekubali kuachana?

    Hiyo talaka ya bakwata nenda kaithibitishe mahakamani! Ikapewe uzito..na kile kitendo cha kumfikisha mahakamani kitamueka Sawa Kwa asilimia Fulani na umueleze muheshimiwa Hakim yote anayokutendea huyo mwanaume mbele yake! baada ya hapo km kuna uwezekano WA kuhama mkoa hama! Wanaume wenye akili...
  5. korino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini niepuke kivuli cha ex husband asiyekubali kuachana?

    Kabisaaa...au km sio eneo Hilo bas ni wapo katika miji midogo midogo km vile Tanga kwamaana hata suala la usafir kumuendea huyo mwanamke inakuwa ni rahisi, na pia huyo mwanaume Hana kazi ya kufanya!
  6. korino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapito mawili magumu kwa wanaume ndani ya ndoa

    Jitafakarini wapi mnakosea maana mwanamke ni kiumbe ambacho mnaweza kukicontrol vizuri Tu na kikawa vile unavyotaka wewe! Sa cjui mnafeli wapi...poleni Sana aisee
  7. korino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi kuchanganyikiwa

    Pole sana vinauma kiukweli hasa ukiwa umempenda mwanaume kidhati! Km ni waislamu pangeni akuoe mke wa pili! Nyote mtakuwa mnahaki ya mume wenu! Km ni wakristo basi Imani itawabana! Sema na moyo wako jikaze kuachana nae! Muombe Mungu atakupa aliesahihi
  8. korino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

    Sio wote lkn
  9. korino

    JamiiForums Tanzania Shape nzuri ya mwanaume inayovutia ni ipi?

    Mindset
  10. korino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namhurumia mdogo wangu, lakini aliyataka mwenyewe

    Penye miti hapana wajenzi!
  11. korino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    [emoji3166]
  12. korino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

    [emoji1]
  13. korino

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

    [emoji1]
  14. korino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Mimi ni ke 10/11 S Yy ni me 29/01 B
  15. korino

    JamiiForums Tanzania Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

    Usiombe ndugu yangu! Muombe Mungu kila siku yasije yakakufika!
Back
Top Bottom