Daaaaa nimecheka sana izo zipo mwana halafu akwambii wala nini kama yuko kwenye periodic table last ndo unadata ukifikiria ku.piga uwez basi unakausha tu kimya kimya
Kidini,kisayansi,kijamii,ki-uhalisia tu wewe ulio comments kwenye hii Thread una jibu lako moyoni tena zuri tu sio jambo jema kufanya upuuz kama uo lakini ndo watu wanashauriana mabaya na kuambiana upuuz wewe mleta mada kwanza ujaoa kwa hyo unafanya #zinaa pili kwa ushauri wangu stop mara moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.