Mwanaume anapodanganywa na msichana

Mwanaume anapodanganywa na msichana

Sielewi ni kwa nn wanaume wakiona unakuwa naye karibu, unapiganaye story, unamtania, unaweza hata kuomba ushauri wa kifamilia yeye akili yake inakwenda moja kwa moja kwenye ngono, mm napenda sana kuwa na rafiki wa kuime ambaye tuko age wise na tunaongea mambo mengi lkn si kuishia kwenye ngono, lkn kila nimpatae lazima anitongoze, huwa nachukia sana na ni kweli huwa naishia kumuona mtu wa ajabu sana. ukiwa na mwanaume kama rafiki ni vizuri msingonoke maana atasaidiana kwa kila hali ila mkishangonoka tu na ugomvi unaweza ukatokea maana hautakuwa huru tena kuongea na wanaume wengine kama ulivyokuwa mwanzo.

NB WANAUME si kila mwanamke anayekuongelesha na kukufurahia basi anapenda muishie kwenye ngono, tunapenda kuwa na marafiki wa kiume.

Hawajui kuwa sio kila rafiki anafaa kuwa mpenzi,
Ila kwakweli hakuna urafiki baina ya mwanaume na mwanamke, lazima mwanaume ataishia kutaka papuchi tu, ona tu comment zao humu
 
Inaweza kuwa kweli usemavyo, lakini hata mimi napenda niwe na girlfriend, sio katika muktadha wa kuishi kingono.

Kitu ambacho nadhani kinawasukuma wanaume wengi kuwaza urafiki unaishia katika ngono, labda wengine huhisi kuwa huyu dada ataona kuwa mimi ni zoba na sina guts za kumtokea kumtongoza.

Lakini ni kitu kizuri sana kutengeneza network ya urafiki na jinsia zote. Kinachonishangaza, ni kwa nini watu wakishajiingiza katika ngono hata urafiki unaweza kufa? Au kuwa katika migogoro isiyoisha?
 
Pengine alikua mwezini.Kuna dem niliingia nae geto, nimemchezea mpaka bac, kuingiza mkono kwnye kufuli nkakutana na pad, ikabidi nkaushe!

Daaaaa nimecheka sana izo zipo mwana halafu akwambii wala nini kama yuko kwenye periodic table last ndo unadata ukifikiria ku.piga uwez basi unakausha tu kimya kimya
 
Kwanini ujiandae wewe tu kwa sex wakati upande wa pili haujui unaelekea kufanywa nini? thats not cool!

To me, I never took a chick that much simple! kama ni sex zone time, lazima nikwambie 45 minutes kabla ili na wewe uweze kujiandaa kisaikolojia kwamba unaelekea kuvuliwa na kupumzishwa kimapenzi, thats HUMANITY!!!

La sivyo, kesi hizo nyingine zaweza kuwa za ubakaji hasa hasa pale unapolazimisha!!

Kumbuka, better sex huwepo pale tu mwanamke anapokuwa ame relax akili na kuvifanya viungo vyake vya uzazi kujiachia.
Excel.
 
Last edited by a moderator:
Inaweza kuwa kweli usemavyo, lakini hata mimi napenda niwe na girlfriend, sio katika muktadha wa kuishi kingono.

Kitu ambacho nadhani kinawasukuma wanaume wengi kuwaza urafiki unaishia katika ngono, labda wengine huhisi kuwa huyu dada ataona kuwa mimi ni zoba na sina guts za kumtokea kumtongoza.

Lakini ni kitu kizuri sana kutengeneza network ya urafiki na jinsia zote. Kinachonishangaza, ni kwa nini watu wakishajiingiza katika ngono hata urafiki unaweza kufa? Au kuwa katika migogoro isiyoisha?

Mie ukiwa rafiki yangu ukaomba papuchi na urafiki unaishia hapohapo!!! Na nitakudharau kweli maana unakuwa umevuka mipaka ya urafiki na huelewi maana ya urafiki.
 
kweli mara nyingi inakuwa ngumu, nashukuru haijawahi kunitokea hii, na nafikiri ni uoga wangu ndio umechangia hadi sasa nakaribia umri wa Asprin....
 
Last edited by a moderator:
Mie ukiwa rafiki yangu ukaomba papuchi na urafiki unaishia hapohapo!!! Na nitakudharau kweli maana unakuwa umevuka mipaka ya urafiki na huelewi maana ya urafiki.

Na hilo ni gumu kwa wanaume wengi kung'amua. Akiona urafiki umekuwa na nguvu, anahisi hata mwanamke nae anahitaji ngono...
 
mi sishobokei mademi, mpaka anitongoze, wananijua saana, hayo maswahibu ni kwa madomo zege tuuu wanaopenda misisfa na kugegeda ovyo kama kuku
 
smtime kuna mambo yanakera....way back 2007 nimerud bongo nipo likizo...mdada mmoja tulimeet kwa ndege kurud bongo from schiphol, tumefika tumezoeana weee, tumemeet like 3 times sehemu tofaut tofaut...siku hiyo kanicheck lets meet tukameet nikamuuliza twende wap akataja hotel moja hivi tumeenda nikamuuliza tukae wap au nachukua room akasema chukua...uongo mbaya nikajua leo nakula kitu kimteremkoo...he kufika room after story za hapa na pale...nataka kumake a move akaanza kuzingua n ooh i wanted us to have privacy just for stories. ..i was shocked. ..story? ? And i pay 60k for a room... Just kupiga story...alikataa kata kata tusiduu...n then we left bila bila...
Nilishindwa kuelewa na mpaka leo huwa sielewagi alikuwa na maana gani...
yani huyo ndo ningebaka hadi aite messiiiiiii,60k??just for privacy,kumaninaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Page 11 of 11,madem wakorofi au kwakuwa hisia zao ziko mbali ila wanahuruma ukinyenyekea anakupa tena yote sema labda mbaya ukilazimisha.
 
Zinduna , haya mambo huwa yanatokea lakini with a reason

Kuna mwanamke mwingine anaweza akakuchangamkia sana tu lakini kumbe kakukubali lakini sio kimahaba..kwa hiyo unakuwa surprised akikataa unapomtokea..ila hiyo ya kuchomoa kinomanoma siijui..Huyu huwa anachomoa kiubinadamu na kujaribu kukuelewesha kuwa "I like you" na sio "I love you"

Wengine anaweza akakupenda na kujilengesha..lakini bado ana dignity..sasa mwanamme kama una busara inabidi unapomtamkia mapenzi uonyeshe kuwa wewe ndo muanzilishi. Usifanye isomeke "dada umenitega na kujigonga mara nyingi so let me tell you what you want to hear: kuwa mpenzi wangu"...nooo..wanawake wa kiafrika hata akimpenda mtu..anatakaionekane kuwa mwanamme ndo kapenda so anaomba mwanamke amkubali

ukiona umependwa na mwafrika then ukamtokea kama unamtokea changu basi pamoja na kukupenda kote lazima akumwage
 
Mie ukiwa rafiki yangu ukaomba papuchi na urafiki unaishia hapohapo!!! Na nitakudharau kweli maana unakuwa umevuka mipaka ya urafiki na huelewi maana ya urafiki.

atoto, nadhani hutakiwi kumdharau mtu wa hivyo..mapenzi mengine huchipuka taratiibu na inaweza ikamchukua muda mrefu mtu kugundua kuwa anampenda flani

Niliwahi kuwa na rafiki yangu wa kike..tulikuwa tunaishi mitaa tofauti na urafiki wetu ulidumu kwa about 4 years! then akahamia mtaani kwetu na hapo muda wa kukaa naye ukawa mwingi zaidi..after hilo nikaja kuona qualities ambazo sikuwahi kuziona kwake..taste yake na yangu katika movie na miziki nikagundua its the same. imagine katika library yangu nilikuwa na novel nyingi na 16 kati ya hizo alikuwa nazo!!! alikuwa hapendi mpira lakini alipojenga mazoea ya kwenda pamoja na mimi automatically akaipenda timu ninayoipenda mimi.. jinsi alivyokuwa anamtreat mdogo wangu na watoto majirani in general nikagundua anapenda watoto kama mimi..kibaya zaidi all the time sikuwahi kumuona boy friend wake na sikuwahi kuuliza maana niliona ni kuingilia privacy yake..then nikagundua she is a virgin

madem zangu waliozoea kumfikiria vibaya alikuwa anatake trouble kuwafuata na kuwaelewesha that we have nothing going on

hayo ni kwa ufupi lakini to make the long story short alikuja kuwa mpenzi wangu

URAFIKI UNAWEZA UKAZAA MAPENZI
 
Sielewi ni kwa nn wanaume wakiona unakuwa naye karibu, unapiganaye story, unamtania, unaweza hata kuomba ushauri wa kifamilia yeye akili yake inakwenda moja kwa moja kwenye ngono, mm napenda sana kuwa na rafiki wa kuime ambaye tuko age wise na tunaongea mambo mengi lkn si kuishia kwenye ngono, lkn kila nimpatae lazima anitongoze, huwa nachukia sana na ni kweli huwa naishia kumuona mtu wa ajabu sana. ukiwa na mwanaume kama rafiki ni vizuri msingonoke maana atasaidiana kwa kila hali ila mkishangonoka tu na ugomvi unaweza ukatokea maana hautakuwa huru tena kuongea na wanaume wengine kama ulivyokuwa mwanzo.

NB WANAUME si kila mwanamke anayekuongelesha na kukufurahia basi anapenda muishie kwenye ngono, tunapenda kuwa na marafiki wa kiume.

Kwanini usitafute mwanamke mwenzako ndo muombane ushauri?,..Mimi nauita unafiki huo.
 
nadhani baadhi ya wakaka mmekariri vibaya coz mtu ukimzoea tu anaanza kukutongoza, sema kweli ndo maana sipendi kumzoea mtu much coz mwisho wasiku nikichomoa ataona kusudi kumbe namahusiano na mtu mwingine

Kwa nini uzoee wanaume?,..zoea mwanamke mwenzio.
 
atoto, nadhani hutakiwi kumdharau mtu wa hivyo..mapenzi mengine huchipuka taratiibu na inaweza ikamchukua muda mrefu mtu kugundua kuwa anampenda flani

Niliwahi kuwa na rafiki yangu wa kike..tulikuwa tunaishi mitaa tofauti na urafiki wetu ulidumu kwa about 4 years! then akahamia mtaani kwetu na hapo muda wa kukaa naye ukawa mwingi zaidi..after hilo nikaja kuona qualities ambazo sikuwahi kuziona kwake..taste yake na yangu katika movie na miziki nikagundua its the same. imagine katika library yangu nilikuwa na novel nyingi na 16 kati ya hizo alikuwa nazo!!! alikuwa hapendi mpira lakini alipojenga mazoea ya kwenda pamoja na mimi automatically akaipenda timu ninayoipenda mimi.. jinsi alivyokuwa anamtreat mdogo wangu na watoto majirani in general nikagundua anapenda watoto kama mimi..kibaya zaidi all the time sikuwahi kumuona boy friend wake na sikuwahi kuuliza maana niliona ni kuingilia privacy yake..then nikagundua she is a virgin

madem zangu waliozoea kumfikiria vibaya alikuwa anatake trouble kuwafuata na kuwaelewesha that we have nothing going on

hayo ni kwa ufupi lakini to make the long story short alikuja kuwa mpenzi wangu

URAFIKI UNAWEZA UKAZAA MAPENZI

Hayo mazoea ndio cyataki tenaaa na wanaume maana huko ndiko wanakofikiriaga na kuishia.
 
Back
Top Bottom