Whatsapp calling activation

Whatsapp calling activation

Kama unahitaji whatsapp calling kweny cm yako ya android fanya yafuatayo

Update whatsapp yako to latest version

Link- download hapa make sure unadowload version 2.11.561
Pili nitext kwenye whatsapp kwa kuandika JAMIIFORUMS kweny namba 0713190269

then ntakupgia cm kwa whatsapp unachotakiwa kufanya ni kupokea simu..

Fanya faster b4 server za activation hazjafungwa.
Mtaarifu na mwenzio,..


Kuna namna nyingine ya ku-download latest version ya Whatsapp? (Preferably toka kwenye website yao)
Hiyo link hapo ni ya kuaminika?


 


Kuna namna nyingine ya ku-download latest version ya Whatsapp? (Preferably toka kwenye website yao)
Hiyo link hapo ni ya kuaminika?



Yes,,unaweza download toka kweny website ya whatsapp kabxa,,,ni kitu kile kile 2,
 
Thanks much, It is activated. Screenshot_2015-03-12-13-41-11.png
 
Mkuu farijiel NIMEFANIKIWA! Ahsante nawajulisha na wenzangu wa activate ili tuweze wasiliana kwa kupigiana simu kwenye Whatsapp!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom