Ndg yangu uko mwilini mno, wakati vita yako iko rohoni simama kwenye maombi ya toba na ufanyiwe deliverance......kila kinachotokea kwenye ulimwengu wa macho ya nyama ni matokeo ya yale yanayoendelea ktk ulimwengu wa Roho....fanya hima issue sio kabila wala dini ni mapatilizo ya maagano na roho...
Mkuu sisi tunakudai hicho Original cha form four sasa itabaki kazi kwako wewe na Mwajiri wako kuhusu mustakabali wa ajira yako lkn nijuavyo mimi hapo mzee tayari unakuwa disqualified....... Hata kwa court watakupeleka maana forgery ni kosa la jinai kisheria.
Mkuu wa meza alipata na muda wa kupiga simu muda wa kazi kuchangia hoja no actually kupongeza wale vijana wa mawingu kwa jinsi wanavyopendeza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni dhahiri anakwenda mahakamani kutushitaki akirejea uvamizi wa mali yao(the way they treat this matter).
Ule mkataba wa kikoloni unaleta shida leo hii, pole pole namna hii tutashikana mashati.
Inapofika issue za kesi na mahakama, hakuna jambo dogo....usishangae underdog anatoka triumphant...mambo ya kisheria sio rahisi kiivyo kama tunavyochukulia. Tuwape muda tutapata matokeo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.