Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atinga Nigeria kwa Nabii TB Joshua

Super Tuesday

JF-Expert Member
Apr 5, 2016
636
727
Ninatazama Emmanuel tv hapa nimemuona mhe. Freeman Mbowe akiwa kwenye ibada katika kanisa la The Synagogue Church of All Nations linaloongozwa na Prophet T.B Joshua
image.jpeg
 
Chadema kilikuwa chama safi kinachotangaza mapato yake Leo hakitangazi sababu ya Lowasa.

Chadema kilikuwa chama safi cha kupinga ufisadi na unyonyaji ,Leo kimeanza kutetea mafisadi. Yote haya yameletwa na Lowasa.

Mbowe fukuza haya makapi ya ccm wanakuchafulia saccos yako.
 
akiwafukuza atakula wapi. jamani embu tuwe wakweli. na msema ukweli ni mpenzi wa Mungu
 
Back
Top Bottom