Recent content by kongobelo

  1. kongobelo

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif akamatwa na Polisi huko Visiwani Zanzibar, Polisi wakana kumshikilia

    Yani mapolisi na matendo yao dah! Ila sehemu nyingine polisi wanaponzeka bure,watawala ndio shida!
  2. kongobelo

    JamiiForums Tanzania Mtoto Tuenry

    Hivi chakula ya nani hii? Kuna watu wanakojolea pazuri aisee!
  3. kongobelo

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua hili neno 'eti' huwa lina maana gani?

    Swaga tu hizo ili wakutoe hela!
  4. kongobelo

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kuikataa Vodacom

    .
  5. kongobelo

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume sijui ni kilaza wa aina gani!!!!

    Mkuu umekosea kwa kuonesha kutaka kumrudisha lakini mwenzako anataka kukutumia tu huyo. Achana nae kabisa fanya yako angalia maisha yako.
  6. kongobelo

    JamiiForums Tanzania Stanbic Bank Kupunguza wafanyakazi 200

    Jiwe katuharibia nchi yetu!
  7. kongobelo

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Chagua Magufuli kazi iendelee!

    Anavizia wenda yakamkuta ya Simbachawene.
  8. kongobelo

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Sauti iliyodukuliwa na kusikika ni ya kwangu

    Anasema anajua amedukuliwa na nani sema 'anajua miiko kwahiyo hasemi'. Inaonesha kabisa source ya hizi sauti ni kule ambako hata yeye alitumika na kula kiapo!
  9. kongobelo

    JamiiForums Tanzania Mmmh!!!!!

    Hatari.
  10. kongobelo

    JamiiForums Tanzania Tanzia: General Alfred Mbowe afariki Dunia, Msiba upo Salasala Dar Es Salaam

    Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun. Pole sana Mwenyekiti.
  11. kongobelo

    JamiiForums Tanzania Wadada wageni Jf kuweni makini na dume hili la JF

    Mtandao pendwa lazima ulipata tabu sana!
  12. kongobelo

    JamiiForums Tanzania Mitandao inayoongoza kutembelewa nchini Tanzania(2018): JamiiForums ni ya kwanza kwa TZ

    Duh.. X videos watu wansingia kwa siri. Lazima kuwe na wafuasi wengi.
  13. kongobelo

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka

    Kaa lodge. Pale kasalimie tu.
  14. kongobelo

    JamiiForums Tanzania Weekend hii upo wapi na unafanya nini

    Nipo hom na familia tu!
  15. kongobelo

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hana mambo kabsa chumbani

    Kama sio mchaga basi atakua hajatumika sana huyo. Basi mfundishe nini cha kufanya baadae atakua malaya kitandani.
Back
Top Bottom