Recent content by Kongawadodo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kumuua padri mushi kufikishwa mahakamani kesho.

    Sure atafute id ingine kuficha mataptap..
  2. K

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kumuua padri mushi kufikishwa mahakamani kesho.

    Mbinguni hawaoi wala kuolewa..mwili pamoja na sex organs vyote ni mali ya udongo...ila kuzimu ndo tunasikia watu wakioa majini-ila ni wale watu wanaotoka duniani na kurudi duniani(shetani huwadanganya) ...Baada ya kifo ni hukumu yaani hutaona bikira wala ghorofa, ni moto mweusi tii na funza...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kumuua padri mushi kufikishwa mahakamani kesho.

    Mbinguni hawaoi wala kuolewa..mwili pamoja na sex organs vyote ni mali ya udongo...ila kuzimu ndo tunasikia watu wakioa majini-ila ni wale watu wanaotoka duniani na kurudi duniani(shetani huwadanganya)...Baada ya kifo ni hukumu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kumuua padri mushi kufikishwa mahakamani kesho.

    Ilikuwa uk sio usa baada ya libya kukubali kulipa fidia wahanga mamilioni ya dolar...ila usa walilalamikia sana hiyo deal.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wachimba moram 12 wafukiwa na kifusi Moshono Arusha

    Hizi mbio za viongozi kuwahi maafa zina tija au ndo kuwahi kufunika uzembe.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Usalama Wangu Hatarini

    Pole kijana, sioni kama watu wanafanya siasa ndani ya ccm zaidi ya vitisho tu, haya ndo aliyochaguliwa nayo kinana?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Usininukuu; Hatari Kubwa Ninayoiona Mbele Yetu...

    Cdm wametumia akili sana kumkataa pandikizi ludo..sasa utoto wa kina mjengwa,mwampamba unajidhihirisha...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

    Hapo juu Invicible ametuambia Manyerere alitumika sana 2005, hata leo anatumika, kaanzisha tuhuma dhidi ya Ludovic ndani ya siku moja Ludo kakamatwa mh! JF imepiga kelele dhidi ya shehe Ilunga(tisho la kweli) hajakamatwa...Bashe akitoa maelezo anatuhumu vyombo vya usalama kuhusika...Mjengwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya FBI kutua nchini, sasa Redio Imani wakimbia kivuli chao, wahubiri amani

    duh, dini kaka watu wanakuwa vipofu kabisa, USA iue watu wake kisa afghanstan?..America anakutwanga sababu inatosha ama haitoshi(Iraq).
  10. K

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

    Huyu dada si maarufu hata, ila urembo wake utampatia bwana wa maana ndani ya ccm, ndiyo kawaida ya ccm watu wa mizigo..
  11. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Bernard Membe na Hotuba ya Kiingereza Uzinduzi wa Mwai Kibaki Road

    Shida yangu kwa membe ni kujificha nyuma ya mtandao, gesi ya mtwara sikumsikia kabisaa, na hapa ndo ilikuwa kipimo. Ni vizuri tuanze kumsikia tumjue vinginevyo yale yale ya jk, tumeliwa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania UAMSHO ina watu wake ndani ya SMZ

    Baba wa taifa viatu vyake ni vikubwa sana.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jukwaa la Wakristo mkoa wa Mbeya (TCF)

    kipis alama ya huduma ya kwanza ni tofauti na ule wa kanisani, wa kanisa ni mrefu kwenda chini na huduma ya kwanza ni kama alama ya kujumlisha +,pole kwa kupotoshwa..
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo, Simama au na wewe staafu kama yamekuzidi...

    We crufix acha porojo hapa, mbona Pengo ameshaongea sana siku za nyuma, ni wakati wa kanisa kulaani na hata kutoa angalizo tu. Pia kuna udhaifu (kanisa) ktk kuwalinda mapadri huko visiwani, kanisa lichukue tahadhari lenyewe kama serikali imerojeka pia znz kuna harufu ya alqaeda (ghailani).
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo, Simama au na wewe staafu kama yamekuzidi...

    huyu si ndo alisema jk chaguo la Mungu au.
Back
Top Bottom