Tamko la Jukwaa la Wakristo mkoa wa Mbeya (TCF)

Tamko la Jukwaa la Wakristo mkoa wa Mbeya (TCF)

Status
Not open for further replies.
Msalaba,ni moja kati ya alama ya kiimani ya ukristo. Kwao wao msalaba ni ishara ya "ukombozi" kitu cha kushangaza alama hii ya kiimani,imetapakaa mpaka kwenye vituo vya afya mbalimbali hata vile vinavyomilikiwa na serikali.
Maduka ya madawa mbalimbali huambatana na alama hiyo. Kipo chama cha msalaba mwekundu ambacho takribani nchi nyingi ikiwemo Tanzania nacho hutumia alama hii.

Ni hivi karibuni tu nchi yetu ipo katika mgogoro wa kiimani baina ya wakristo na waislamu kuhusu nani mwenye uhalali wa kuchinja.
Swala hili limefikia hatuwa ya kuzua mtafaruku katika jamii na hata kupelekea viongozi wa kiserikali kujaribu kulitolea matamko kwa nyakati tofauti bila mafanikio.

Hali hii imepelekea viongozi wa kikristo kuweka wazi msimamo wao juu ya kadhia hii,ambapo walitamka kuwa ikiwa kwa waislamu kuchinja kwao ni ibada, ni wakati mwafaka kwa wao kutoshiriki ibada isiyowahusu wakimaanisha kuwa kula nyama iliyochinjwa na muislamu kwa minajili hiyo basi!!

Hivyo wao wapo tayari kujiandalia wenyewe kwa mujibu wa taratibu ya imani yao na si kwa taratibu ya imani nyingine ambayo kimsingi wao hawakubaliani nayo.

Kama ni hivyo basi na mimi nachukuwa fursa hii kuishauri serikali kuondoa kwenye taasisi zake zote alama zozote za kidini,ili kuepusha madai mengine kutoka katika makundi mengine ya kidini.

Ikiwa alama ya msalaba ni ishara ya ukombozi kwa katika ukristo vipi serikali iitumie alama hiyo katika taasisi zinazohudumiwa na watu wenye imani tofauti tofauti?

Kuna ulazima gani magari ya kubebea wagonjwa kuwa na msalaba? Kuna ulazima gani wa maduka ya madawa kuwa na msalaba?
Hivi kama zingekuwepo alama ya nyota na mwezi kwenye taasisi kama hizo zingeendelea kuwepo mpaka hivi leo ikiwa tu swala la kuchinja limeleta mgawanyiko katika jamii?

Ni vema tukaangalia tulipojikwaa kuliko tulipoangukia.
 
Hapo ndipo ninapokuwa na wasiwasi na hawa wachungaji uchwara,wachungaji wa vichochoroni.Ukipima kauli zao kwa mwenye akili utagundua kuwa hawa ndio wanahusika na mauaji yanayoendelea nchini.Dhamira yao imeonekana.Kumbe wanataka sheikh Ilunga hasan kapungu akamatwe.Yani mko tayari muwauwe wenzenu ilimradi tu sheikh wetu akamatwe.

Ndio kusema hamtosheki tu,ponda yuko ndani,mukadam yuko ndani na pia viongozi wote wa uamsho wako ndani.Endeleeni tu lakini mkae mkijua mchezo wenu mauti yetu sote.Hapata kalika hapa Tanzania.
acha ujinga shehe mponda ni wakristo waliomsababisha awe ndani au ujinga wake? unafurahia kuuwawa kwa padre? jiulize ndio uchangie usichangie tu ilimradi uonekane nawe umechangia
 
'Kama Serikali haitachukuwa hatua za makusudi katika kutekeleza madai yetu sisi kama viongovi wa dini ya kikristo tutachukua hatua ya kuwaambia waumini wetu kwamba Serikali ya chama cha mapinduzi inaibeba dini ya kiislamu na wao watajua la kufanya'.

Chonde chonde, Wakristo msikubali kuingia kwenye malumbano na waislamu. Kwa haya matamko mliyowapa serikali, bila shaka watayatolea ufafanuzi. Wakristo vita yenu ni ya kiroho, Mungu awapiganie nyote manake maandiko yanasema "Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamza kimya" (kutoka 14:14).
Endeleeni na kazi za ujenzi wa Tanzania kwa kuwekeza kwenye elimu kuanzia nursury hadi tertiary, mtavuna amani ya Tanzania nanyi mtaishi maisha mema ya kutukuka. Hakuna sababu ya kuwaambia waumini waache kazi zinazowapa maisha, wakashindane na shetani. Ninachokijua, ni kwamba mkimkaribia Bwana, ane atawakaribia. vile vile mkimkimbia shatani nae atawakimbia.

Tutamkaribia Mungu, nae atatupigania 100%, hao wanaodhani dini itawapa maisha mazuri hawana pa kutokea. Maisha mazuri yatapatikana kwa kufanya kazi kwa bidii tena sehemu yenye amani na utulivu, na sio sehemu waumini wanauana kisa kuchinja nyama!!! Hakuna Muislam mwenye akili timamu anaekubaliana na haya yanayotoke Nchini.
Naamini serikali ikiamua ina uwezo wa kutokomeza haya yote yanayotokea. Tatizo serikali bado inapima upepo kwa kutazama ukubwa wa tatizo, na kwa kukurupuka wataanza kutibu tatizo badala ya chanzo cha tatizo.

Naipenda Tanzania, naiombea amani Nchi yangu kwa sababu ndipo ninapoishi na pakitokea machafuko sina sehemu ya kukimbilia mimi na familia yangu na ndugu zangu.
 
Kwa neema ya MUNGU hatutofika huku jamani, japokua hata wao walianza kidogo kidogo lakini Mungu atuepushe na hili ombwe.
 
Mgonwa wako akizidiwa usimpakie kwenye ambulance hadi watakapotoa ile alama. Na red cross international wakija kutoa msaada utakapopatwa na maafa usikubali misaada yao mkuu.
Ya nini malumbano mkuu??????
 
kila imani ichinje kwa imani yake ukiwaachia hawa ombaomba siku nyingine watakuomba kisicho ombeka
Mi hilo la kuchinja waendelee
nalo tu jamani, hawa ni wafanyakazi wetu, sisi ni watoto wa the Most
High so sioni shaka suala la kuasidiwa kuchijna ila walinikera sana juzi
walivyokataa kuchinja kitimoto peke yake kule Geita
 
Mgonwa wako akizidiwa usimpakie kwenye ambulance hadi watakapotoa ile alama. Na red cross international wakija kutoa msaada utakapopatwa na maafa usikubali misaada yao mkuu.
Ya nini malumbano mkuu??????

Msalaba ni ishara ya wokovu kwa mujibu wa imani ya kikristo. Kwa vile hospitali ni sehemu mojawapo ya kupata salama kwa watu wenye matatizo ya kiafya,mkaona bora na nyie kupitia imani yenu ya msalaba muipandikize hapo mkiwa na maana kuwa bila msalaba hakuna wokovu. Kwa nini msiweke kwenye hospitali zenu? Halafu nyinyi ndio wa kwanza kulalama. Mnajuwa jamii nyingine isiokuwa na imani hiyo mnawakwaza vipi? Toweni huo upuuzi wenu huo kwani kunasemwa serikali haina dini?
 
Munaojiita maaskofu utawala wa shehia upo wapi? masheikh wetu kule zanzibar wametiwa ndani bila kosa lolote., mbona hili hamulitetei?
 
halafu Shonza na yule lofa mwingine pamoja na yule jamaa asiyemjua dingi yake wanapita mitaani kutangaza udini na ukabila....ccm wanacheka wanajua washaikomoa CDM...!ccm is bunch of losers.
 
ili tamko linamapungufu yake..ila wameandika kwa ukali sana na kwa zajiba.Nafikiri wangetumia maneno ya busara zaidi kuepusha ugomvi..Pengo ametumia Hekima sana.ila hawa jamaa wa Mbeya naona ndiyo wanachochea moto zaidi.
 
Mi hilo la kuchinja waendelee nalo tu jamani, hawa ni wafanyakazi wetu, sisi ni watoto wa the Most High so sioni shaka suala la kuasidiwa kuchijna ila walinikera sana juzi walivyokataa kuchinja kitimoto peke yake kule Geita

Mkuu hata mimi pia.
Juzi nilitaka kuchinja Noah yangu, so nikamtafuta Ustaadh Chandimu aje kunichinjia (Maana wao ndo wana haki ya Kuchinja Kisheria)...akakataa
 
hahahaaaaa wenyewe walikua walichinja kimya kimya tu
Mkuu hata mimi pia.
Juzi nilitaka kuchinja Noah yangu, so nikamtafuta Ustaadh Chandimu aje kunichinjia (Maana wao ndo wana haki ya Kuchinja Kisheria)...akakataa
 
'kama serikali haitachukuwa hatua za makusudi katika kutekeleza madai yetu sisi kama viongovi wa dini ya kikristo tutachukua hatua ya kuwaambia waumini wetu kwamba serikali ya chama cha mapinduzi inaibeba dini ya kiislamu na wao watajua la kufanya'.

chonde chonde, wakristo msikubali kuingia kwenye malumbano na waislamu. Kwa haya matamko mliyowapa serikali, bila shaka watayatolea ufafanuzi. Wakristo vita yenu ni ya kiroho, mungu awapiganie nyote manake maandiko yanasema "bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamza kimya" (kutoka 14:14).
Endeleeni na kazi za ujenzi wa tanzania kwa kuwekeza kwenye elimu kuanzia nursury hadi tertiary, mtavuna amani ya tanzania nanyi mtaishi maisha mema ya kutukuka. Hakuna sababu ya kuwaambia waumini waache kazi zinazowapa maisha, wakashindane na shetani. Ninachokijua, ni kwamba mkimkaribia bwana, ane atawakaribia. Vile vile mkimkimbia shatani nae atawakimbia.

Tutamkaribia mungu, nae atatupigania 100%, hao wanaodhani dini itawapa maisha mazuri hawana pa kutokea. Maish
a mazuri yatapatikana kwa kufanya kazi kwa bidii tena sehemu yenye amani na utulivu, na sio sehemu waumini wanauana kisa kuchinja nyama!!! Hakuna muislam mwenye akili timamu anaekubaliana na haya yanayotoke nchini.
Naamini serikali ikiamua ina uwezo wa kutokomeza haya yote yanayotokea. Tatizo serikali bado inapima upepo kwa kutazama ukubwa wa tatizo, na kwa kukurupuka wataanza kutibu tatizo badala ya chanzo cha tatizo.

Naipenda tanzania, naiombea amani nchi yangu kwa sababu ndipo ninapoishi na pakitokea machafuko sina sehemu ya kukimbilia mimi na familia yangu na ndugu zangu.
vita ya wakristo si ya damu na nyama????
Inakuwaje wewe usiwe mkristo halafu utumie bible kuwaghiribu wakristo???
Mungu aliongoza wana wa israel kwenda vitani na wale wote walio onyesha woga waliuawa!!!
Idara ya mossad iliundwa kwa maelekezo ya mungu!!!
Mossad inatokana na neno mussa!!!

Lengo kubwa na kazi kubwa ya mossad ni kupambana na ugaidi !!!!
Wewe usitufanye wakristo wajinga !!!
Kawadanganye wengine !!!
Kila jambo na majira yake!!!
Haya ni majira ya kulisimamia neno kwa gaharama ya kifo na si kuhubiri mahubiri ya shetani ili kuwapumbaza watu na siasa nyepesi nyepesi za ccm
 
msalaba,ni moja kati ya alama ya kiimani ya ukristo. Kwao wao msalaba ni ishara ya "ukombozi" kitu cha kushangaza alama hii ya kiimani,imetapakaa mpaka kwenye vituo vya afya mbalimbali hata vile vinavyomilikiwa na serikali.
Maduka ya madawa mbalimbali huambatana na alama hiyo. Kipo chama cha msalaba mwekundu ambacho takribani nchi nyingi ikiwemo tanzania nacho hutumia alama hii.

Ni hivi karibuni tu nchi yetu ipo katika mgogoro wa kiimani baina ya wakristo na waislamu kuhusu nani mwenye uhalali wa kuchinja.
Swala hili limefikia hatuwa ya kuzua mtafaruku katika jamii na hata kupelekea viongozi wa kiserikali kujaribu kulitolea matamko kwa nyakati tofauti bila mafanikio.

Hali hii imepelekea viongozi wa kikristo kuweka wazi msimamo wao juu ya kadhia hii,ambapo walitamka kuwa ikiwa kwa waislamu kuchinja kwao ni ibada, ni wakati mwafaka kwa wao kutoshiriki ibada isiyowahusu wakimaanisha kuwa kula nyama iliyochinjwa na muislamu kwa minajili hiyo basi!!

Hivyo wao wapo tayari kujiandalia wenyewe kwa mujibu wa taratibu ya imani yao na si kwa taratibu ya imani nyingine ambayo kimsingi wao hawakubaliani nayo.

Kama ni hivyo basi na mimi nachukuwa fursa hii kuishauri serikali kuondoa kwenye taasisi zake zote alama zozote za kidini,ili kuepusha madai mengine kutoka katika makundi mengine ya kidini.

Ikiwa alama ya msalaba ni ishara ya ukombozi kwa katika ukristo vipi serikali iitumie alama hiyo katika taasisi zinazohudumiwa na watu wenye imani tofauti tofauti?

Kuna ulazima gani magari ya kubebea wagonjwa kuwa na msalaba? Kuna ulazima gani wa maduka ya madawa kuwa na msalaba?
Hivi kama zingekuwepo alama ya nyota na mwezi kwenye taasisi kama hizo zingeendelea kuwepo mpaka hivi leo ikiwa tu swala la kuchinja limeleta mgawanyiko katika jamii?

Ni vema tukaangalia tulipojikwaa kuliko tulipoangukia.
inaonysha hujui hata wakristo na ukristo!!!
Msalaba si alama ya wakristo!! Kwani hata wamasai wanavaa misalaba ila inatofautiana ukubwa!!!
Wachawi wanavaa misalaba na hata bafreemanson!!!
Waislam nao wana misala!!!
Nafahamu zipo gari za msalaba mwekundu zinatumia mwezi na nyota kumaanisha uislamu hiyo haina tatizo !!!
Pengine tungechimba zaidi nini maana ya nyota na mwezi maana katika mbingu hiyo ndipo alipo shetani
 
Katika uislamu "HAKUNA"alama ya nyota na mwezi. Kama wewe umeiona waulize uliowaona nayo!!
 
Msalaba ni ishara ya wokovu kwa mujibu wa imani ya kikristo. Kwa vile hospitali ni sehemu mojawapo ya kupata salama kwa watu wenye matatizo ya kiafya,mkaona bora na nyie kupitia imani yenu ya msalaba muipandikize hapo mkiwa na maana kuwa bila msalaba hakuna wokovu. Kwa nini msiweke kwenye hospitali zenu? Halafu nyinyi ndio wa kwanza kulalama. Mnajuwa jamii nyingine isiokuwa na imani hiyo mnawakwaza vipi? Toweni huo upuuzi wenu huo kwani kunasemwa serikali haina dini?

kipis alama ya huduma ya kwanza ni tofauti na ule wa kanisani, wa kanisa ni mrefu kwenda chini na huduma ya kwanza ni kama alama ya kujumlisha +,pole kwa kupotoshwa..
 
Wana wa Israel walipokuwa wanasafiri toka utumwani Misri kwenda kwenye nchi ya ahadi wakiongozwa na Mussa, walipigana vita na mataifa 31 kabla ya kuifikia nchi ya ahadi. Sintaona ajabu kama wakristo nao uvumilivu ukawashinda na kuanza kutenda yale yanayotendwa na waislamu. Katika biblia vita inaruhusiwa hasa ikiwa ni kujikinga.
 
Hapo ndipo ninapokuwa na wasiwasi na hawa wachungaji uchwara,wachungaji wa vichochoroni.Ukipima kauli zao kwa mwenye akili utagundua kuwa hawa ndio wanahusika na mauaji yanayoendelea nchini.Dhamira yao imeonekana.Kumbe wanataka sheikh Ilunga hasan kapungu akamatwe.Yani mko tayari muwauwe wenzenu ilimradi tu sheikh wetu akamatwe.

Ndio kusema hamtosheki tu,ponda yuko ndani,mukadam yuko ndani na pia viongozi wote wa uamsho wako ndani.Endeleeni tu lakini mkae mkijua mchezo wenu mauti yetu sote.Hapata kalika hapa Tanzania.

Kichwa Mbovu, ni dhahiri kuchinja, kuua na ugomvi ni asili ya imani yenu ya ki-islam. Jiulize kwa nini sehemu yoyote mlipo huwa hamna amani na siku zote panafuka moshi? Hivyo basi nimeanza kupata sababu kwa nini nchi za magharibi hasa Marekani hutenga mabilioni ya shillingi ili kukabiliana na watu msiokuwa na utu kama wewe kichwa mbovu. Ni vyema tukubaliane "Waislam ni more than a problem kote ulimwenguni". Mtashindana nasi lakini hamta shinda kamwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom