FortJeasus
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 604
- 405
Mleta hoja wetu alistahili na kwa kweli bado anastahili kuwa msomaji maarufu wa maandiko ya wananchi wengine wanaojua kufikiri na kuchambua mambo ipasavyo.Kwa kufanya hivyo angeweza kuongeza uelewa na ufahamu wake na kupata stadi na mbinu za uchambuzi.
Kwa upeo wake wa mambo na uwezo wake wa uchambuzi simuoni kama mtu anayestahili kuwa mwandishi,mtu anayetarajiwa kuelimisha wengine.Elimika kwanza kabla ya kuanza kuelimisha wengine.
Kwa upeo wake wa mambo na uwezo wake wa uchambuzi simuoni kama mtu anayestahili kuwa mwandishi,mtu anayetarajiwa kuelimisha wengine.Elimika kwanza kabla ya kuanza kuelimisha wengine.