Mi nikiona nitawataja naona umejiwekea Mazingira mawili ya hatari na lazima moja likukute, mfano wa hayo R.i.p A C
UNATAFUTA NA WEWE UPATE PAKUBWA KULIKO WAO AU UNATAFUTA KIFO.
Hata ukienda kununua pazi Zanzibar na ukishuka nayo hapa lazima ulipe ushuru kama umetoka nchi nyingine na sio ndani ya Tanzania.
Mi mpaka mda huu sioni faida ya muungano kwa MTANGANYIKA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.