Nakubaliana nawe wapenzi wakubwa wa mpira ni
1. Maskini
2. Wasio na elimu
3. Wenye upeo mdogo.
4. Ukimwona tajiri anafuatilia mpira ujue kunasehemu anapiga pesa ( ni kiongozi au anataka uongozi. Ila si mshabiki maandazi. Tajiri anafuatilia mpira kwa malengo akijua kutumia fursa za wajinga...
Nipatie mtani wangu. Mpange kabisa. Nijilie nyama hizo. Si ana nyama nyama? Mpange mweke sawa. Unalipia show yote si ndiyo? Mi ni kwenda ichapa tu nikisheherekea ushindi wangu. Na muulize yeye ni team gani ili nijue nimchape Simba au Yanga mwenzangu.
Mimi nmefanikiwa mdogo wangu. Wewe si ndo umeshaharibikiwa kabisa? Usijali sisi wa kale tunalinda. Wewe ndo basi tena Gen Z Ushaharibikiwa. Nafuata sana usia wako ili wote tusiwe kama wewe.
Wa kitambaa cheupe wazuri? Wasafi? Wewe kwenu hamna hata mtoto wa mjomba au shangazi? Au binti mwenye makebo makubwa au wastani? Tuwekeane dau MIMI NASEMA YANGA TUNATAFUNA NYAMA HADI MKIA WAKE.
1. Saddam Hussein
2. Osama Bin Laden
3. Muamar Ghadafi
Hawa watu walikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa watoto wadogo, watu wazima na wanawake. Wakiwashawishi wajitoe mhanga. Wafe kwa ajili yao
Nlitegemea wao wangeonesha mfano kuliko wale wawili kukubali kukamatwa au kuuawa na makafiri na huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.