Recent content by kombeo la daudi

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Acha kutafuta wapenzi au marafiki baada ya kufikisha miaka 40

    si mnasemaga maisha kibongobongo, huanza na miaka hiyo 40, sasa imagine umejipata ukiwa 40 yako kibindoni kweli.....hautapasuka kwa mishipa ya ubongo....
  2. K

    JamiiForums Tanzania Soko la Mahindi Ladorora Tanzania Baada ya Mavuno Makubwa Kwenye Nchi zote zinazotunguka.

    Na this time, kila kiongozi anajipigania. huwezi sikia zile ntantalila za kuwajali wakulima. huku kwenye kilimo ukipata fedha mara moja amishia mitaji yako kwenye uwekezaji mwingine.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kelele nyingi, Yanga yaamua kutoa jezi mpya

    sisi kama yanga tunasema jezi ni jambo dogo sana, jambo kubwa ni kuikanda simba kila uchao
  4. K

    JamiiForums Tanzania Baada Ya Muda Kupita Nimeelewa Mo Alikuwa Anatoa Ujumbe Upi Na Kwa Nani , Na Alimaanisha nini...

    sisi tuendelee kula ugali na sukuma wiki pembeni pilipili......nimependa finishing hii.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Polepole anahitaji msaada wa matibabu kuliko kumshangaa

    kuna mambo, aliyakalia kimya.sana enzi za mwendazake lakini haimzuii kuungama na kujutia kwa kusema uwazi kama njia yake ya kushusha matokeo ya dhambi zake.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ni sawa mzazi kujua kiwango cha mshahara wangu?

    tatizo ni pale ambapo hawawezi, kukataa kiasi chochote utakachowapa. na hawawezi kukuonea huruma pia, kwa hiyo ni wewe tu na maamuzi yako.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kimara inaharibu taswira ya jiji la Dar, serikali haioni hii aibu?

    labda kama kuna namna ya kuwasaidia makazi yao yawe bora. hembu fikiria mtu aliyejenga kwa taabu na kwa muda mrefu tu,ili apate pa kujisitiri. then aambiwe akarabati kisasa zaidi au ahame jiji, yamkini inakuwa sio poa. wakishirikishwa kwa ruzuku na elimu watajenga tu. ila ikumbukwa hata huko...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mliojenga, shikamooni wakubwa zangu

    jenga kadri ya uwezo wako. kuna wale ambao hujenga bangaloo, wanapigana nalo mwisho wa siku, wanakuja kulimalizia wajukuu kwa aibu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume chukueni ushauri huu

    mtaani kwetu, ukioa mwanamke mwenye mtoto wanasema, umeoa dereva na konda wake.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Jose Chameleone asikitishwa na mke wake kudai talaka na mgawanyo wa mali

    Hivi, kuna mwanaume aliyewekwa ndani na kimada, mambo yakaenda mrama, kisha mwanaume huyo akadai apigwe pasu kwa pasu? nyakati, nyingine wanaume hupaswa kuwasoma wanawake zao, mapema kimkakati, hii itasaidia kutokuweka kila kitu bayana. mwanamke wa ukweli, hapotei.... we cheza na hisia zake...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Uki -mstudy kwa makini Mzee Wassira, utagundua kwamba huyu ni Mzee mwenye akili nyingi sana

    akili gani nzuri za darasani ambazo zimeshindwa kutatua changamoto za kijamii?.....
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mshikaji niliyeajiriwa naye pamoja amenipa hasira sana wakuu

    bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi. kumbuka kuna chanel, mtu unaambiwa kabisa kasome ili uwekwe mahala fulani. mwenzangu na mie jitafakari, unaacha kazi wewe, ila wanaumia ndugu zako
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM ni Baba wa siasa za kimkakati Afrika

    baba wa kutaka kujiita baba.
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mifumo ya Chadema imeungwa na NIDA, ushahidi huu hapa, je na wao wanaitumia kuiba kura?

    polepole bado hajapata wa kupangua mawe yake. sijui aje naaani, labda.
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda amenifanya nibadili mtazamo wangu kuhusu wakazi wa Arusha

    ushawishi neno pana sana, ukute hata kulazimishwa njia usiyoipenda ni ushawishi.
Back
Top Bottom