Recent content by kombaME

  1. kombaME

    Nimepoteza password ya email

    Nimepoteza password ya email, nimejaribu kutafuta nikaambiwa niweke namba ya Simu niliyoitumia kipindi nafungua email bahati mbaya namba pia nimeisahau. Naomba msaada kwa wajuzi nifanyeje?
  2. kombaME

    Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

    Hujui nini unazungumza, mdogo wangu wa mwisho huko ndo CO na ni mwajiriwa tayari, akaacha kuendelea na shule akaenda kupiga kazi, Inaonekana una access ya kujua email au majina ya watu, nakumbuka umewahi kucomment kweny post yangu moja hivi kwa kunipa hongera ya kuajiriwa na Tamisemi na...
  3. kombaME

    Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

    Niheshimu, mimi sio miongoni mwenu. Mdogo wangu wa mwisho ndo CO na tayari alikuwa MD2 but akapata hizi kazi za Tamisemi akaona aende kupiga kazi then atarudi kumalizia shule yake. Mimi sio miongoni mwenu nyia maGP.
  4. kombaME

    Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

    Huyo jamaa ni professional arrogant, tayari ameshaniita CO pale juu, jinga sana hili. Mdogo wangu wa mwisho ndo ana hiyo fani na alikuwa MD2 sema amepata ajira hizi za Tamisemi za juzi, ameenda kupiga kazi kisha atamalizia shule yake, mimi nilishapita huko kitambo, nilishakaimu hadi nafasi ya RMO.
  5. kombaME

    Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

    Hahahahhaha naona CO'S na kaka zao MD's wanabishana hapo juu.
  6. kombaME

    Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

    Samahani mkuu nje ya mada kdg, Naomba utofauti wa hayo maneno, Daktari na Tabibu.
  7. kombaME

    Siwaelewi wanaume wa karne hii

    Husband material hawana six pack na wana sura za wajomba zao, uchaguzi ni wako
  8. kombaME

    Kwa wanafunzi walio dahiliwa SUA

    Nendeni mkateseke, sio chuo kile.
  9. kombaME

    Mke wangu usiku wa jana nusura aniue, angenipa kilema

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. kombaME

    Tabia ya wadada kuweka kopo la kukojolea ndani inatokana na nini?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. kombaME

    Wachezaji wa Yanga hawana presha yoyote kutoka kwa mashabiki

    Wachezaji muda mwingine huwa wanajituma kwasababu ya presha ya mashabiki, mashabiki wa Yanga ni wapole mno na timu ikifanya vibaya wenyewe wanaitetea timu yao so wachezaji hawahisi presha yeyote, msimu wa 5 huu unaenda hawana kikombe chochote cha maana, klabu bingwa Africa wametolewa kwenye...
  12. kombaME

    Degree ya Clinical Medicine inafanywa miaka mingap huko nje ya nchi?

    We kweli wa mbagala, yaani kila kitu kipo wazi, na mabadiliko ya kuwatambua waliosoma degree ya Clinical Medicine yamefanyika mwezi wa 7 km sijakosea, upo nyuma sana mkuu.
  13. kombaME

    Diploma ya clinical medicine ni miaka mingapi

    CO to MD ni miaka 8, ushauri angalia isije miaka ya CO ikafanana au ikaizid ile ya MD, hao Nacte huko diploma level wana balaa lao, kuna mshikaji alisoma CO miaka 6.
  14. kombaME

    Nimemaliza PCB, nataka afya Ila siwezi kuvumiliaa kuona damu wala kuona mtu anatoka damu

    Huwezi kukaa hospital kitengo chochote usiguse damu, dharula ni nyingi hospital na utatakiwa kusaidia sehemu yoyote na muda wowote, achana na afya soma kitu kingine
  15. kombaME

    Niende kozi ipi kulingana na soko la ajira?

    Akapate tabu, sio? SUA kile sio chuo ni advance iliyochangamka.
Back
Top Bottom