Tabia ya wadada kuweka kopo la kukojolea ndani inatokana na nini?

Kama ni nyumba ya watu wengi ,wanaogopa uti mana huu ugonjwa unawatesa sana wadada ...ile frequently kwenda kukojoa ni risk kwa upande wao kiafya
 
Mimi kuna siku nilwahi kumfichia mdada mmoja kopo lake la kukojolea basi akakojolea beseni yaan ukimfichia beseni anatumia ndoo ndogo ukimfichia ndoo anatumia vikopo vya dawa au mafuta au masufuria yaliyoyotoboka halafu anaamka mapema anamwaga kwenye majani basi iyo sehemu majani hayaoti sijui kwanini
Kweli tuko sawa nac wanyama mwitu.
 
Mimi kuna siku nilwahi kumfichia mdada mmoja kopo lake la kukojolea basi akakojolea beseni yaan ukimfichia beseni anatumia ndoo ndogo ukimfichia ndoo anatumia vikopo vya dawa au mafuta au masufuria yaliyoyotoboka halafu anaamka mapema anamwaga kwenye majani basi iyo sehemu majani hayaoti sijui kwanini
 
Juz tu nilikuwa kwa manzi fulan hapo dar nikalala kwake km wiki moja ,ni demu ambae huwez mdhania km anaweza kuwa na huo ujinga ,nilishangaa Sana kukuta kopo ndan ya room yake .

Kibaya Zaid ile nyumba ina choo Cha ndani Tena karibu kabisa na room yake ingawa sio self lakin ni Kama nusu self maana choo ipo ndan ,unafungua tu mlango wake choo hii hapa unaiona.

Nikamuuliza why unakuwa na hiyo tabia wakat choo ipo karibu ,et naona uvivu kutoka nje ,dah mm mda wote nilikuwa naenda choon yeye anachuchumaa kwenye kopo lake.

Ila kwa kifupi mm naona ni uchafu fulan na hiki kitabia kimeenea balaa hususan dar ,mikoan hamnaga huo ujinga na sijawah kutana nao.
 
Kuna jamaa alisha wahi kumwagiwa mkojo ali leta fujo asubuh asubh akaishia kuoga mkojo..sometimes ni siraha kumbe
Duh umetisha mwaisa kwa kung'amua kua ni silaha mbadala kumbe..ina maana haikua maji mumbe lilikua ni kojo alilomwagia binam angu
 
Back
Top Bottom