Wachezaji wa Yanga hawana presha yoyote kutoka kwa mashabiki

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,115
2,807
Wachezaji muda mwingine huwa wanajituma kwasababu ya presha ya mashabiki, mashabiki wa Yanga ni wapole mno na timu ikifanya vibaya wenyewe wanaitetea timu yao so wachezaji hawahisi presha yeyote, msimu wa 5 huu unaenda hawana kikombe chochote cha maana, klabu bingwa Africa wametolewa kwenye hatua ya awali kabisa lakin ukiwakuta wanavyotamba sasa na timu yao unaweza sema wao ndo mabingwa msimu uliopita, hili lianawafanya Viongozi, bench la ufundi na wachezaji kufanya business as usual.

Mashabiki wenzetu huko ulaya ni tofauti, uvumilivu upo lakin sio kwa mambo ya kipuuzi, timu ina wachezaji wazuri, inahudumiwa vizuri lakin mwenendo wa timu hauridhishi lazima watu wangehoji tena kwa nguvu, Shabiki wa timu hana anachikipata kt timu yake zaidi ya furaha ambayo huletwa na matokeo mazuri, Viongozi, Wasemaji, Wachezaji wanapokea mishahara lakn shabiki anatoa pesa yake ili hao wapokee mishahara, hana anachopata zaidi ya furaha ya ushindi.

Mashabiki wa Yanga na Tanzania kiujumla tubadilike, otherwise wachezaji wataendelea kuwa wavivu huku sisi ndo tunataniwa na kukonda.
 
Wananchi tumeridhika na tuna raha kama zote. Muda ukifika na tukayataka makombe tutayapata tu.

Acha makolo waumie kwa niaba yetu.
 
Acha uongo wewe umeridhika au timu lako bovu kwa sasa halina tofauti na chapa kilevi fc ya temeke mbuli kumlomo,, hata usiporidhika ndo nini? Usiridhike tuone ubebe ubingwa,, na sio kutulea hadithi za sungura sizitaki mbichi hizi
 
Unateseka ukiwa wapi.
 
What is pressure?
Pressure is the force acting normally per unit area.

The SI Unit of pressure is NEWTON per METER SQUARE.
 
Wachezaji muda mwingine huwa wanajituma kwasababu ya presha ya mashabiki, mashabiki wa Yanga ni wapole mno na timu ikifanya vibaya wenyewe wanaitetea timu yao so wachezaji hawahisi presha yeyote, msimu wa 5 huu unaenda hawana kikombe chochote cha maana, klabu bingwa Africa wametolewa kwenye hatua ya awali kabisa lakin ukiwakuta wanavyotamba sasa na timu yao unaweza sema wao ndo mabingwa msimu uliopita, hili lianawafanya Viongozi, bench la ufundi na wachezaji kufanya business as usual.

Mashabiki wenzetu huko ulaya ni tofauti, uvumilivu upo lakin sio kwa mambo ya kipuuzi, timu ina wachezaji wazuri, inahudumiwa vizuri lakin mwenendo wa timu hauridhishi lazima watu wangehoji tena kwa nguvu, Shabiki wa timu hana anachikipata kt timu yake zaidi ya furaha ambayo huletwa na matokeo mazuri, Viongozi, Wasemaji, Wachezaji wanapokea mishahara lakn shabiki anatoa pesa yake ili hao wapokee mishahara, hana anachopata zaidi ya furaha ya ushindi.

Mashabiki wa Yanga na Tanzania kiujumla tubadilike, otherwise wachezaji wataendelea kuwa wavivu huku sisi ndo tunataniwa na kukonda.
Kwani hata huko Ulaya si ndipo Arsenal walipo ?
 
Presha Itoke Wapi? Wakati Lawama zote zinaelekezwa Kwa Karia na Almasi Kasongo wa Bodi Ya Ligi...!
Hao Utopolo Akili Zao Wanazijua Wenyewe, Miaka Minne ishakatika hawastuki Kombe hakuna...Ukiona Wameshiriki CAF jua WAMEBEBWA na Round yao ni Moja tu...! Wanarudi kwenye Lawama.
Na Waje kubisha sasa Rivers Kawafanya nini....!
 
kama simba walikaa miaka 6 bila kombe, sisi miaka 4 ni nini?
na tukianza kuyachukua mnatujua, ni misimu mi3 hadi mi5 mfululizo nyie tuchokozeni tu.
 
Wamezoea kufanya vibaya na kwao kawaida na ni desturi yao,sasa aibu itokee wapi? Timu kubwa kama Simba ikifanya vibaya ni lazima wawe au waone aibu. Danga hata akifumaniwa kwake poa tu ila aliyetulia anaweza hama hadi mji
20210923_193207.jpg

Wachezaji muda mwingine huwa wanajituma kwasababu ya presha ya mashabiki, mashabiki wa Yanga ni wapole mno na timu ikifanya vibaya wenyewe wanaitetea timu yao so wachezaji hawahisi presha yeyote, msimu wa 5 huu unaenda hawana kikombe chochote cha maana, klabu bingwa Africa wametolewa kwenye hatua ya awali kabisa lakin ukiwakuta wanavyotamba sasa na timu yao unaweza sema wao ndo mabingwa msimu uliopita, hili lianawafanya Viongozi, bench la ufundi na wachezaji kufanya business as usual.

Mashabiki wenzetu huko ulaya ni tofauti, uvumilivu upo lakin sio kwa mambo ya kipuuzi, timu ina wachezaji wazuri, inahudumiwa vizuri lakin mwenendo wa timu hauridhishi lazima watu wangehoji tena kwa nguvu, Shabiki wa timu hana anachikipata kt timu yake zaidi ya furaha ambayo huletwa na matokeo mazuri, Viongozi, Wasemaji, Wachezaji wanapokea mishahara lakn shabiki anatoa pesa yake ili hao wapokee mishahara, hana anachopata zaidi ya furaha ya ushindi.

Mashabiki wa Yanga na Tanzania kiujumla tubadilike, otherwise wachezaji wataendelea kuwa wavivu huku sisi ndo tunataniwa na kukonda.
 
Wachezaji muda mwingine huwa wanajituma kwasababu ya presha ya mashabiki, mashabiki wa Yanga ni wapole mno na timu ikifanya vibaya wenyewe wanaitetea timu yao so wachezaji hawahisi presha yeyote, msimu wa 5 huu unaenda hawana kikombe chochote cha maana, klabu bingwa Africa wametolewa kwenye hatua ya awali kabisa lakin ukiwakuta wanavyotamba sasa na timu yao unaweza sema wao ndo mabingwa msimu uliopita, hili lianawafanya Viongozi, bench la ufundi na wachezaji kufanya business as usual.

Mashabiki wenzetu huko ulaya ni tofauti, uvumilivu upo lakin sio kwa mambo ya kipuuzi, timu ina wachezaji wazuri, inahudumiwa vizuri lakin mwenendo wa timu hauridhishi lazima watu wangehoji tena kwa nguvu, Shabiki wa timu hana anachikipata kt timu yake zaidi ya furaha ambayo huletwa na matokeo mazuri, Viongozi, Wasemaji, Wachezaji wanapokea mishahara lakn shabiki anatoa pesa yake ili hao wapokee mishahara, hana anachopata zaidi ya furaha ya ushindi.

Mashabiki wa Yanga na Tanzania kiujumla tubadilike, otherwise wachezaji wataendelea kuwa wavivu huku sisi ndo tunataniwa na kukonda.
Ebu fuatilia Manchester Utd na Arsenal FC .Ligi ya England.Tafakari kwa nini mako ha wao wapo mpaka leo pamoja na timu zao kufanya vibaya kwenye ligi yao na mashindano mengine ya Uefa kwa zaidi ya misimu 2. Je ingekuwa Tanzania ingekuwaje?

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Wachezaji muda mwingine huwa wanajituma kwasababu ya presha ya mashabiki, mashabiki wa Yanga ni wapole mno na timu ikifanya vibaya wenyewe wanaitetea timu yao so wachezaji hawahisi presha yeyote, msimu wa 5 huu unaenda hawana kikombe chochote cha maana, klabu bingwa Africa wametolewa kwenye hatua ya awali kabisa lakin ukiwakuta wanavyotamba sasa na timu yao unaweza sema wao ndo mabingwa msimu uliopita, hili lianawafanya Viongozi, bench la ufundi na wachezaji kufanya business as usual.

Mashabiki wenzetu huko ulaya ni tofauti, uvumilivu upo lakin sio kwa mambo ya kipuuzi, timu ina wachezaji wazuri, inahudumiwa vizuri lakin mwenendo wa timu hauridhishi lazima watu wangehoji tena kwa nguvu, Shabiki wa timu hana anachikipata kt timu yake zaidi ya furaha ambayo huletwa na matokeo mazuri, Viongozi, Wasemaji, Wachezaji wanapokea mishahara lakn shabiki anatoa pesa yake ili hao wapokee mishahara, hana anachopata zaidi ya furaha ya ushindi.

Mashabiki wa Yanga na Tanzania kiujumla tubadilike, otherwise wachezaji wataendelea kuwa wavivu huku sisi ndo tunataniwa na kukonda.
Ligi hata kuanza tu bado, tayari umeanza chokochoko! Unapima kutokujituma kwa hao wachezaji katika mechi ngapi? Kama ni hizi mbili dhidi ya Rivers United basi utakua hauko sahihi hata kidogo.

Timu inahitaji muda ili iweze kufanya vizuri. Nitaungana na wewe mwisho wa msimu iwapo viongozi watakivuruga hiki kikosi cha sasa, kwa namna yoyote ile.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom